MTENDAHAKI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,013
- 1,447
maana yake ni kuwa anakerwa na namna serikali ya ccm inavyoongoza nchi kama kampuni binafsi!Mjumbe wa NEC CCM na mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini Ndugu Nimrodi Mkono muda huu amesaini waraka ambao utapelekwa Bungeni kesho kuhusu kura ya kutokuwa na Imani na Waziri Mkuu. Huyu amekuwa Mbunge mwingine miongoni mwa wabunge wa CCM ambao wameamua kuusaini waraka huo kabla ya kuwasilishwa Bungeni kesho siku ya jumatatu. Huyu ni mjumbe wa NEC ya CCM , tafsiri ya jambo hili nini maana yake .....
Mkuu Rejao, kinachofanyika kesho sio hoja kupitishwa bali kuwasilishwa rasmi!.Tupo hapa hapa nyumbani kwetu..naona mnashabikia sana. Msidhani kuwa hii hoja itapitshwa na bunge.
Who is Mkono anyway? Does he even talk?
I can swear I don't remember when I last heard him talk in parliament let alone sponsor any kind of significant piece of legislation.
Nimrod umeacha legacy
Ujumbe wa Nec ya CCM, utaisha mwaka huu.Mjumbe wa NEC CCM na mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini Ndugu Nimrodi Mkono muda huu amesaini waraka ambao utapelekwa Bungeni kesho kuhusu kura ya kutokuwa na Imani na Waziri Mkuu.
Huyu amekuwa Mbunge mwingine miongoni mwa wabunge wa CCM ambao wameamua kuusaini waraka huo kabla ya kuwasilishwa Bungeni kesho siku ya jumatatu.
Huyu ni mjumbe wa NEC ya CCM , tafsiri ya jambo hili nini maana yake .....
Kumbe Mkono nea shujaa!.
Chanzo ni mimi na nimeshiriki kuwa naye wakati anasaini nyaraka hiyo na nafikiri Zitto akimaliza mazungumzo naye ataweka kwenye wall yake ama twite...
Unajua mapaka sasa watu hawajaifahamu zaidi CDM. Wanaikurupukia tu. Tuna mikakati ya kuanika all about CDM. Stay tunned!
Jamani hivi jembe letu lusinde ata-sign?
Now this is significant. I am not so much impressed by the redeeming nature of this act, some aspects of Mr. Mkono's record are hardly redeemable.
I am watching this closely because Mr. Mkono is a shrewd, well connected politician who wouldn't lend this move if there is no hope of some heavy moves.
Mkono kwa kutia sahihi list hii ametuonyesha kwamba hii movement inakubalika na wabunge wa upinzani na wa CCM,wenye uzoefu na connections tofauti.
Lazima kuna political intrigues kubwa sana hapa. Na kuna bonge la legal strategy tayari. Hata sabotage / counter espionage moves are not exactly improbable.
Hahahaa hasira za mkizi mlikuwa wapi hadi jahazi linataka kuzama, acha uchizi.Unajua mapaka sasa watu hawajaifahamu zaidi CDM. Wanaikurupukia tu. Tuna mikakati ya kuanika all about CDM. Stay tunned!
Money talks mkuu, alisema yeye ni mtu wa vitendo akitoka bungeni haendi wizarani kuomba pesa anakwenda moja kwa moja jimboni kwake kukagua madarasa mangapi yamejengwa.Who is Mkono anyway? Does he even talk?
I can swear I don't remember when I last heard him talk in parliament let alone sponsor any kind of significant piece of legislation.
Mkuu wengine ni wanamageuzi na hatuna Chama ila tunajua ukubwa na nguvu za CCM ndio kunapelekea kutokuwa na Upinzani wa kweli.., kwahio furaha kwetu ni KIFO CHA CCM.., just imagine life bungeni kama kukiwa na atleast 60/40 percent ya wabunge chama tawala na upinzani..Unajua mapaka sasa watu hawajaifahamu zaidi CDM. Wanaikurupukia tu. Tuna mikakati ya kuanika all about CDM. Stay tunned!
Kumbe Mkono nea shujaa!.