Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa hasira za mkizi mlikuwa wapi hadi jahazi linataka kuzama, acha uchizi.
Politically hii ina maana sana. Imeweka mstari ulio wazi (sharp contrast) miongoni mwa wabunge wanaosimamia umma na wale wanaosimamia matumbo yao na ufisadi.Regardless ya kwamba yaweza kua gutter politics... Walau inatoa facts na si assumption ya hasa situation iko vipi. Inaweza isijalishe wangapi wata sign ila it matters who signs... Hasa ukizingatia aliesimamia kidete ni Zitto.
ONLY 8 WHICH IS NOTHING OUT OF 260
hii hoja haitopita hizi ni sarakasi za MAJITAKA
Nimefurahishwa sana na kitendo cha huyu Mzee.
Ameamua kujiunga na Upande sahihi, kwa wakati muafaka. Hakika historia itamkumbuka kwa kuvuka mstari wa unafiki.
Bila shaka atawatoa uoga wabunge wengi sana.
Ninaimani kuna wabunge wa CCM wataongezeka kabla hoja hii haijawa tabled kwa Speaker
Watanzania ni watu wa matukio sana baada ya hapo uwa wanayasahau yote.
Katika orodha ya Slaa aliyoitaja pale Mwembe Yanga Temeke Nimrod Mkono alikuwemo.
Leo baada ya kusaini amekuwa shujaa na kwenye kundi la ufisadi hayumo tena.
Mjumbe wa NEC CCM na mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini Ndugu Nimrodi Mkono muda huu amesaini waraka ambao utapelekwa Bungeni kesho kuhusu kura ya kutokuwa na Imani na Waziri Mkuu.
Huyu amekuwa Mbunge mwingine miongoni mwa wabunge wa CCM ambao wameamua kuusaini waraka huo kabla ya kuwasilishwa Bungeni kesho siku ya jumatatu.
Huyu ni mjumbe wa NEC ya CCM , tafsiri ya jambo hili nini maana yake .....
UPDATE:
Amesema kuwa yeye ni mbunge wa NEC (ya CCM) wa kuchaguliwa na wabunge na wabunge ndio wanalalamika hivyo hawezi kukaa kimya nchi ikiwa inapotea!
Watanzania ni watu wa matukio sana baada ya hapo uwa wanayasahau yote.
Katika orodha ya Slaa aliyoitaja pale Mwembe Yanga Temeke Nimrod Mkono alikuwemo.
Leo baada ya kusaini amekuwa shujaa na kwenye kundi la ufisadi hayumo tena.
Mkono is nothing than a very smart guy. Kwa kutiani saini anajua kuwa jina lake litasafishika. lakini on the other hand anajua kuwa Magamba hawataafiki kupiga kura ya no confidence kwa Mtoto Fake wa Mkulima kwa maana wote ni Wachumia tumbo and they dont know what will be the next course of action.
As you can see, mmeshaanza kumuona Mkono shujaa while in fact ni one of Top Fisadiz. The guy knows mathematics.
Kilichopo hapa ni Kugangamaa na hoja na kama Bi Kiroboto akiizima, the next stage iwe ni Mkakati wa Kumwondoa yeye Bi. Kiroboto kwa kutumia Kanuni.
Mbona bandiko langu kuhusu chanzo cha hii habari mmelifuta? Au siku hizi hatutakiwi kuulizia kuhusu vyanzo vya habari?
Who is Mkono anyway? Does he even talk?
I can swear I don't remember when I last heard him talk in parliament let alone sponsor any kind of significant piece of legislation.
si kila kilchoandikwa wakati huo kilikuwa sahihi na haikuwa biblia au quran sometimes tumia aili utuambie ufisadi wake ni nini?
Great thinker humjui tu! kama una ushahidi mpeleke mahakamani!