Mhe. Rais Magufuli alikataa rushwa wazi, watumishi walioiba wawajibishwe kumuenzi

Kwani lugola alifanywa nini???? Si aliishia kuitwa takukuru wakapiga kimya chini na huyo mwendazake, hebu muwe na kumbukumbu
 
mtaongea sana ila Magu tutamkumbuka kwa mazuri kama alivyosema R.I.P my hero President
 
Hakuna ubadhirifu uliofanywa na Rais aliyepita, ubadhirifu ulifanya na viongozi wasio kuwa na maadili wakiwemo Mawaziri, makatibu wakuu na maafisa suuri wengine katika sekta mbalimbali.

Kama tunataka kumuenzi JPM Basi tuwawajibishe wanaohusika Kama ambavyo angeafanya endapo angekuwa hai.

Kuacha kuwawajibisha nikuruhusu wizi mkubwa zaidi na kisha kumtupia lawama Rais aliyepo Sasa.
Unajuaje hakuna ubadhirifu uliofanywa na rais aliyepita?
 
mtaongea sana ila Magu tutamkumbuka kwa mazuri kama alivyosema R.I.P my hero President
Jibu kwanza hilo msije na mipasho tu kama vile mnaongea na watoto wadogo wasiotambua lolote, chini ya huyo muuwaji wenu lugola alifanywa nini?
 
tulimpumzisha aendelee na majukum mengine
 
Kwahiyo mlimaliza yaani... Kashfa ya trillion za hela mnaishia kumpumzisha imeisha sio? Haya na kigwangala kabla hajatolewa kwenye uwaziri alikuwa na korokocho la billion 2.5 mlifamya nini?
 
Kili challenge
 
Hakuna ubadhirifu uliofanywa na Rais aliyepita, ubadhirifu ulifanya na viongozi wasio kuwa na maadili wakiwemo Mawaziri, makatibu wakuu na maafisa suuri wengine katika sekta mbalimbali.

Kama tunataka kumuenzi JPM Basi tuwawajibishe wanaohusika Kama ambavyo angeafanya endapo angekuwa hai.

Kuacha kuwawajibisha nikuruhusu wizi mkubwa zaidi na kisha kumtupia lawama Rais aliyepo Sasa.
Una hoja mkuu. Yani hata huyu Sasha aliyepo sasa kwenye usukani anapaswa kuwajibika, si ndio alikuwa msaidizi sasa alikuwa anasaidia majizi?
 
Unaniuliza au unajibu?, achana na uozo wa ripoti ya mwaka 2019..2020...kigwa Ana korokocho ripoti ya 2018..2019......mlimfanya ninrejea

Una hoja mkuu. Yani hata huyu Sasha aliyepo sasa kwenye usukani anapaswa kuwajibika, si ndio alikuwa msaidizi sasa alikuwa anasaidia majizi?
hahahahah duh watu wanachimbua makaburi? hahahahahahha
 
Ahhahahahahah watetezi mje taratibu humu watu tuna kumbukumbu zetu hatupelekwi kama gari bovu...... Jioni njema boss
 
Hakuna ubadhirifu uliofanywa na Rais aliyepita, ubadhirifu ulifanya na viongozi wasio kuwa na maadili wakiwemo Mawaziri, makatibu wakuu na maafisa suuri wengine katika sekta mbalimbali.

Kama tunataka kumuenzi JPM Basi tuwawajibishe wanaohusika Kama ambavyo angeafanya endapo angekuwa hai.

Kuacha kuwawajibisha nikuruhusu wizi mkubwa zaidi na kisha kumtupia lawama Rais aliyepo Sasa.
Hivi unakataaje rushwa halafu hutaki kukaguliwa? Yeye ndiye mla rushwa namba moja.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] Saiv ndo hawa wana andamana nyuma ya keyboard kama mtoa post na kitecno chake..
"Tunaandamana Jumatatu aongezewe mitano tena, hapa ni mpaka 2035," Chato Inc and Sukuma Gang

Mungu fundi haswa [emoji23][emoji23]
 
wewe umezaliwa nchii kweli? au ndo wale wakimbikizi au vibaraka...mwenye macho haambiwi tazama Mazuri ya Magufuli yanaonekana na ameacha alama zisizofutika katika Nchi hii na alama hizi karibu mikoa na wilaya zote za Tanzania.... haya tupe status za wapiga dili enzi hizo walifanya nini
Chato Gang.
Screenshot_20210324-224310.jpg
 
Back
Top Bottom