Sangamwalogesha
JF-Expert Member
- Mar 10, 2025
- 2,153
- 1,419
John unamfahamu wewe???? Huko CCM alikotoka ni madudu matupu!Hakuna mtu anamfikia John Mongela kwa sasa. Ni mwadilifu, mnyenyekevu, mtiifu.
Wanaoweza kufuatia Innocent Bashungwa, Dotto Biteko

Ujinga mtupu.Hakuna mtu anamfikia John Mongela kwa sasa. Ni mwadilifu, mnyenyekevu, mtiifu.
Wanaoweza kufuatia Innocent Bashungwa, Dotto Biteko
Kimeo+++Hakuna mtu anamfikia John Mongela kwa sasa. Ni mwadilifu, mnyenyekevu, mtiifu.
Wanaoweza kufuatia Innocent Bashungwa, Dotto Biteko
Waganga wote Leo najua ni siku ya ramli,hata ramli chonganishi Leo zinahusika,😭Hakuna mtu anamfikia John Mongela kwa sasa. Ni mwadilifu, mnyenyekevu, mtiifu.
Wanaoweza kufuatia Innocent Bashungwa, Dotto Biteko
Sawa Mama John. Tutazifikisha hizi salamu zako kwa mhusika mkuu wa huo uteuzi. Hakika unafanya kazi kubwa sana ya kumpigia chapuo mume wako.Hakuna mtu anamfikia John Mongela kwa sasa. Ni mwadilifu, mnyenyekevu, mtiifu.