Z Zygot JF-Expert Member Joined Apr 14, 2016 Posts 2,265 Reaction score 2,919 Feb 16, 2021 #21 Halafu wanaosumbua nchi kwa wizi ni waajiliwa wa serikali ambao hawafiki hata milioni moja: FUkuza watu hawa, ajili wengine.
Halafu wanaosumbua nchi kwa wizi ni waajiliwa wa serikali ambao hawafiki hata milioni moja: FUkuza watu hawa, ajili wengine.
KIGENE JF-Expert Member Joined Jan 22, 2011 Posts 1,552 Reaction score 813 Feb 16, 2021 #22 tindo said: Yeye mwenyewe alifanya hayo hayo kwenye uchaguzi kwa kuagiza yeye binafsi na wagombea wenzake wa CCM watangazwe washindi kwa shuruti. Kimsingi unaripoti tatizo kwa mtu ambaye ni sehemu ya hilo tatizo. Click to expand... Alifanya hivyo hata kwenye kuuza nyumba za serikali,yeye ndiye muasisi wa mambo haya.
tindo said: Yeye mwenyewe alifanya hayo hayo kwenye uchaguzi kwa kuagiza yeye binafsi na wagombea wenzake wa CCM watangazwe washindi kwa shuruti. Kimsingi unaripoti tatizo kwa mtu ambaye ni sehemu ya hilo tatizo. Click to expand... Alifanya hivyo hata kwenye kuuza nyumba za serikali,yeye ndiye muasisi wa mambo haya.