Mhe. Rais uliyoyaona Morogoro Manispaa yako Ofisi zote za Serikali

Mhe. Rais uliyoyaona Morogoro Manispaa yako Ofisi zote za Serikali

Halafu wanaosumbua nchi kwa wizi ni waajiliwa wa serikali ambao hawafiki hata milioni moja: FUkuza watu hawa, ajili wengine.
 
Yeye mwenyewe alifanya hayo hayo kwenye uchaguzi kwa kuagiza yeye binafsi na wagombea wenzake wa CCM watangazwe washindi kwa shuruti. Kimsingi unaripoti tatizo kwa mtu ambaye ni sehemu ya hilo tatizo.
Alifanya hivyo hata kwenye kuuza nyumba za serikali,yeye ndiye muasisi wa mambo haya.
 
Back
Top Bottom