fundinaizer
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,758
- 2,713
Alikuwa JKT kujitolea niishie hapo mengine ni siri[/QUOTE
ngoja niunganishe dots
Mkuu JKT siyo jeshi?Huyu Temba anapenda sana kujikosha kuwa alikuwa jeshini kumbe ni jkt
SIO KILA ALIYEPITA JKT ANAWEZA KUWA JWTZ.Mkuu JKT siyo jeshi?
Huyo hata ukimwambia uji ni kimiminika atapinga, maana akili zake huwa anazijua mwenyewe.Mkuu JKT siyo jeshi?