Mhe Temba alikuwa JWTZ au JKT?

Mkuu naomba elimu, tattoo INA madhara gani jeshini?
 
Samahani kidogo Mkuu katika majina yote ya nchi zilizopo duniani na hata katika Kitabu takatifu cha Wakristo Biblia hakuna nchi iitwayo ' Islael ' bali kuna nchi inayotambulika hadi Kijiografia kama ' Israeli ' yenye mji mkuu wake Tel Aviv Yafo.
mji mkuu wa Israel ni Jerusalem,
 
Kwa hiyo hapo pichani huyo Temba ni yupi?
 
Mkuu naomba elimu, tattoo INA madhara gani jeshini?
kwa hapa Tanzania tattoo haziruhusiwi jeshini kwa sababu:-
1. Nidhamu, kwa mazingira ya tz MTU mwenye tattoo huonekana kuwa ni mhuni asiye na nidhamu kinyume na sheria na misingi ya jeshi LA tanzania .

2. Tattoo yaweza kuwa alama ya makundi ya kihalifu, hivyo kutoa mafunzo ya kijeshi kwa kijana mwenye tattoo ni sawa na kuwapa mafunzo magaidi ndani ya jeshi ( japo yawezakuwa sio sahihi) lakini msimamo wa majeshi yetu ndo huo.
 
OK thanks
 
watu eleweni kuwa JKT ni jeshi kama ilivyo jwtz, ndio maana jkt ni kamandi kamili kwenye muundo wa JWTZ, msifikiri kuwa jkt ni mchezo mchezo waliopita kule ndo wanajua, na ndio kugumu kuliko hata RTS
 
Umejibu vema kabisa
 
Temba alikuwa Jkt, ila kwa mujibu wa katiba ya Tanzania JKT ni jeshi
= Alikuwa jeshini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…