Uchaguzi 2020 Mhe. Tundu Lissu: Ni wakati wa hoja za majumuhisho ( final urgument)

Hakuna Mtanzania atampigia kura msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu

Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
 
Tunawasihi watanzania kufuata sheria, kutofanya fujo wala kuharibu mali. Tuwe watulivu muda wote huku tukisimamia haki zetu. Tupige na kulinda kura zetu bila hofu wala woga wowote hii ni Haki zetu kisheria. Ukipiga kura kaa umbali wa mita 200 kutoka kituo cha kura. TUTASHINDA!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lissu ameleta matumaini makubwa nchini tutamchagua YEYE kesho kutwa.
 
Hivi kuna hoja yeyote ya maana aliyoitoa lisu kipindi chote cha kampeni zake ukiachana na namna alivyopigwa risasi na kututajia The Hague katika kila sentensi??
we unataka Lisu atoe hoja gani wakati wananchi tumeshamuelewa sana kwa hoja alizotoa,au unataka kusikia zile za nileteeni wanawake weupe,au leo na lala karatu tunywe pombe na wanaotaka kuoa wanawake nilionao kwenye msafara wangu ruksa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…