Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #221
Lissu alimnyanyasaga sana Spika Makinda, kwa Spika Ndugai amembananisha.
Pole Tundu Lissu.
P
Pole Tundu Lissu.
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
una uhakika na kauli hii ?Lissu alimnyanyasaga sana Spika Makinda, kwa Spika Ndugai amembananisha.
Pole Tundu Lissu.
P
una uhakika na kauli hii ?
kuna kitu hukijuiWe bwana mwenye jina ambalo tunahisi ni msomi embu tumia elimu yako ya chekechea kujua taratibu za bunge na pengine yale maselfie ya Lissu yangeleta hata barua kwa Spika. RIGHTS entail Responsibilities.
No mimi na Lissu, hatulingani, japo tulikuwa shule moja Ilboru, mimi nikiwa A level, Lissu alikuwa O-level hivyo kwa Lissu mimi ni Kaka yake, na yeye ni mdogo wangu.Mayalla, wewe na Lissu mnalingana?
Ona aibu mdogo wangu.
Kumbe leo ndio nimeelewaLissu alimnyanyasaga sana Spika Makinda, kwa Spika Ndugai amembananisha.
Pole Tundu Lissu.
P
Hili lilikuwa ni ombi la zamani kumuomba Lissu asimsulubu Mwanamke, leo Lissu anarejea na atahutubia viwanja vya Mwembe Yanga Temeke, ombi hili sasa ni kwa kiongozi Mwanamke aliyepo sasa!.Wanabodi,
Leo nimepata fursa ya kuliangalia bunge live asubuhi hii kupitia TBC-1,
Nawauliza wajameni, hivi hiki anachofanya Mhe. Lissu na wabunge wengine wa upinzani, kumsubulu Madam Spika ambaye ni mwanamke bila huruma, ni sawa kweli?!.
Kiafrika, wanawanake ni ni watu wa kubembelezwa na kuonewa huruma!, hivi hawa wabunge wa upinzani ni watu wa aina gani wasio hata na huruma kwa wanawake?!, leo ilibakia kidogo tuu madam spika angelia!, jee hiki wanachofanya ni sawa kweli?!. Ni haki?!.
Nawaomben wabunge wa upinzani tumtendee haki Spika wetu aendesha Bunge kwa haki na kujiamini!. Pia tunamuomba Tundu Lissu aache kumuonea Spika mwanamke, asubiri tupate tena Spika mwanaume mwenzake ndio wapambane, Kiafrika sio vizuri kwa mwanaume kupambana na mwanamke, huku ni kumuonea.
Atakapokuja kutokea Spika mwamume kama Spika Sitta ndio Lissu apambane na sio kumyanyasa Mwanamke.
Pasco.
Umeamkaje mzee wanguHili lilikuwa ni ombi la zamani kumuomba Lissu asimsulubu Mwanamke, leo Lissu anarejea na atahutubia viwanja vya Mwembe Yanga Temeke, ombi hili sasa ni kwa kiongozi Mwanamke aliyepo sasa!.
Dear School mate Tundu Lissu, najua umepitia makubwa. Welcome back home. Nakuomba sana upunguze kidogo kuliishi jina lako, usimsumbue huyu Mama kama ulivyomsumbuaga yule Madam, Mwenyekiti wako Mbowe tayari ameisha onyesha uungwana na ustaarabu mkubwa, wa hali ya juu@, please do the same!, tufanye siasa za kiungwana na kistaarabu. Kubebwa bebeka, ukipedwa pendeka, ukishikwa shikamana, ukiaminiwa jiaminishe!.
Yaliyopita si ndwele, samehe, tugange yajayo tusonge mbele!.
Welcome back home.
Your school mate
Pasco
Wanabodi,Wanabodi,
Mhe. Tundu Lissu ndiye anayeongoza kwa kuleta vurugu aliponyanyuka akamvurumishia tena Makombora mazito, na kama angeendela kidogo tuu!, Spika ange break down kwa machozi!. (Naamini akifika ofisini kwake, atajifungia kidogo na kuimalizia hasira yake the same way wanawake wote wanamalizaga hasira zao!).
Kwa kuzingatia sifa kuu iliyomfanya Mama kuchaguliwa akiujua fika uwezo wa Madam kwanini anaendelea kumsulubisha kila apatapo fursa?!. This is not fair!.
Kwa vile Mama amepewa cheo kwa ajili ya gender issue, kwa uzi huu, namuomba Mhe. Tundu Lissu na Kambi ya Upinzani, wanapokuwa na hoja za msingi, wamuaddress Madam with courtesy of addressing a decent, honorable lady, ili ku restore confidence ambapo kwa sasa, ameshindwa kabisa, kwa hasira,
Nawauliza wajameni, hivi hiki anachofanya Mhe. Lissu na wengine kumsubulu Madam ambaye ni mwanamke bila huruma, ni sawa kweli?!.
Kiafrika, wanawanake ni ni watu wa kubembelezwa na kuonewa huruma!, hivi hawa wapinzani ni watu wa aina gani wasio hata na huruma kwa wanawake?!, leo ilibakia kidogo tuu madam angelia!, jee hiki wanachofanya ni sawa kweli?!. Ni haki?!
Nawaombeni wapinzani tumtendee haki Madam wetu aendesha kwa haki na kujiamini!. Pia tunamuomba Tundu Lissu aache kumuonea mwanamke, asubiri tupate tena mwanaume mwenzake ndio wapambane, Kiafrika sio vizuri kwa mwanaume kupambana na mwanamke, huku ni kumuonea.
Atakapokuja kutokea mwamume ndio Lissu apambane na sio kumyanyasa Mwanamke.
Pasco.
Tundu Lissu akichaguliwa kuwa Mwenyekiti Chadema, halafu 2025 akagombea urais... naomba nisimalizie.Wanabodi,
Mhe. Tundu Lissu ndiye mbunge anayeongoza kwa kuleta vurugu bungeni, na Lissu aliponyanyuka kuomba muongozo wa Spika, akamvurumishia tena Spika Makombora mazito, na kama angeendela kidogo tuu!, Spika Makinda ange break down kwa machozi!.
Nawauliza wajameni, hivi hiki anachofanya Mhe. Lissu kumsubulu Madam Spika ambaye ni mwanamke bila huruma, ni sawa kweli?!.
Kiafrika, wanawanake ni ni watu wa kubembelezwa na kuonewa huruma!, hivi hawa wabunge wa upinzani ni watu wa aina gani wasio hata na huruma kwa wanawake?!, leo ilibakia kidogo tuu madam spika angelia!, jee hiki wanachofanya ni sawa kweli?!. Ni haki?!
tunamuomba Tundu Lissu aache kumuonea Spika mwanamke, asubiri tupate tena Spika mwanaume mwenzake ndio wapambane, Kiafrika sio vizuri kwa mwanaume kupambana na mwanamke, huku ni kumuonea.
Atakapokuja kutokea Spika mwamume kama Spika Sitta ndio Lissu apambane na sio kumyanyasa Mwanamke.
Pasco.
Hili ni bandiko la chuki?.Nyie wazee wa JF wengi mna chuki na Lissu shida nini??
Hili ni bandiko la chuki?.Nyie wazee wa JF wengi mna chuki na Lissu shida nini??