Mhenga wa Sport, hapa ulikuwa wapi na ulikuwa unafanya nini?

Wahenga wenzangu nikumbusheni, yule GK mvuta bangi mwenye visa vingi wa kuitwa BERNARD LAMA alikuwa kikosi hiki ama?

Ufaransa hii ilinkuta ndio nimetoka kustaafu kwa mujibu wa sheria na kuamua kurudi kijijini Namtumbo. Hakika OLD IS GOLD

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bernard Lama aliidakia France 1998 na 2000 akastaafu team ya Taifa 2001 ...hivo hii mechi na zingine hakucheza ..
 

hapana hakuwepo
yule alishastaafu
badae akaenda kenya kuwa kocha mkuu wa harambe stars
 
Mambo ya GOLDEN GOAL yalifutwa ktk na FIFA na Mtu wa Mwisho kufunga GOLDEN GOAL alikuwa CHOGO "T14" Vaaa Vaaa Vuuum... Nikumbusheni km ndio gake hii ama?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kombe la mabara 2003
Vieira, Henry,Makelele,will Sagnol,Gregory Coupet,Zizzou
Hili kombe la mabara bado lipo?

Nakumbuka mwaka 2008 Egypt Vs Brazil mechi ilikuwa ya kibabe Sana
Kipindi hiko Mo.abuutreikar, Mo Zidane, Mo Hassan Egypt Misri kweli
Hadi dakika ya mwisho Kaka anaamua matokeo kwa kupiga penalty

Full-time
Egypt 3
Brazil 4
 

Kikosi hiki hakuwepo hapa makipa walikuwa wawili coupet na landreau


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…