Acehood
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,653
- 2,792
Kwa kweli mkuuPole sana ..ndo maana nimesema wahenga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli mkuuPole sana ..ndo maana nimesema wahenga
Umekosea kidogoooFrance vs Senegal world cup 1998
Nyakati zinatembea kipindi hicho tunaangalia mechi IGOGO kwa mzee maburuki RIPTukumbushane kidogo wakati huu wa tunapokosa uhondo wa michezo wa ligi mbalimbali kwa sababu ya janga la Corona. Ulikuwa wapi na ulikuwa unafanya nini
Karibu mhenga wa FOOTBALL.
Pole sana mkuu...najua nilivyoumizwaaaMie nakumbuka nilimpoteza rafiki yangu kipenzi Ndugu Mac Vivian Foe kwenye mashindano hayo!
Ndio kipindi alikufa Marc Vivian Foe sio?Hiyo ni France na Cameroon kombe la mabara 2003 pale colombia ..
Ndio mkuu 2003 hiyo..
Bernard Lama aliidakia France 1998 na 2000 akastaafu team ya Taifa 2001 ...hivo hii mechi na zingine hakucheza ..Wahenga wenzangu nikumbusheni, yule GK mvuta bangi mwenye visa vingi wa kuitwa BERNARD LAMA alikuwa kikosi hiki ama?
Ufaransa hii ilinkuta ndio nimetoka kustaafu kwa mujibu wa sheria na kuamua kurudi kijijini Namtumbo. Hakika OLD IS GOLD
Sent using Jamii Forums mobile app
Wahenga wenzangu nikumbusheni, yule GK mvuta bangi mwenye visa vingi wa kuitwa BERNARD LAMA alikuwa kikosi hiki ama?
Ufaransa hii ilinkuta ndio nimetoka kustaafu kwa mujibu wa sheria na kuamua kurudi kijijini Namtumbo. Hakika OLD IS GOLD
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah yeah hujakoseaaa....chogo alifunga goal na mpira ukaishia hapo.Mambo ya GOLDEN GOAL yalifutwa ktk na FIFA na Mtu wa Mwisho kufunga GOLDEN GOAL alikuwa CHOGO "T14" Vaaa Vaaa Vuuum... Nikumbusheni km ndio gake hii ama?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili kombe la mabara bado lipo?kombe la mabara 2003
Vieira, Henry,Makelele,will Sagnol,Gregory Coupet,Zizzou
Wahenga wenzangu nikumbusheni, yule GK mvuta bangi mwenye visa vingi wa kuitwa BERNARD LAMA alikuwa kikosi hiki ama?
Ufaransa hii ilinkuta ndio nimetoka kustaafu kwa mujibu wa sheria na kuamua kurudi kijijini Namtumbo. Hakika OLD IS GOLD
Sent using Jamii Forums mobile app
France vs Senegal world cup 1998
Mie nakumbuka nilimpoteza rafiki yangu kipenzi Ndugu Mac Vivian Foe kwenye mashindano hayo!