Fifteen JF-Expert Member Joined Oct 5, 2021 Posts 512 Reaction score 594 Jul 30, 2024 #101 Lucas Mwashambwa said: Hakuna aliyesema kuna kosa. Vipi ni dini gani hiyo unayoizungumzia. Click to expand... Dini ya kabla ya wageni, dini ya asili yetu kama unavokabari kuna mungu WA Israel
Lucas Mwashambwa said: Hakuna aliyesema kuna kosa. Vipi ni dini gani hiyo unayoizungumzia. Click to expand... Dini ya kabla ya wageni, dini ya asili yetu kama unavokabari kuna mungu WA Israel
Logikos JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 15,460 Reaction score 24,233 Jul 30, 2024 #102 Uchawi ni nini na uganga ni nini ? Kwani Uganga ni jambo baya ? Huenda watu tukawa ndani ya mental slavery bila kujijua
Uchawi ni nini na uganga ni nini ? Kwani Uganga ni jambo baya ? Huenda watu tukawa ndani ya mental slavery bila kujijua
L Lucas Mwashambwa JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 28,722 Reaction score 20,610 Jul 30, 2024 Thread starter #103 Tangawizi said: Asilimia kubwa ya wana siasa ni washirikina Click to expand... Sio wote
Tangawizi JF-Expert Member Joined Jun 25, 2009 Posts 6,696 Reaction score 6,734 Jul 30, 2024 #104 Lucas Mwashambwa said: Sio wote Click to expand... Asilimia kubwa ni washirikina ndio maana kuna taharuki za mambo yanayoendana na ushirikina, kila ikikaribia uchaguzi. Asilimia kubwa ina maana sio wote ni washirikina. Ila ubaya, fitna, mizengwe, kurogana na hata ikibidi....kawaida sana kwenye siasa
Lucas Mwashambwa said: Sio wote Click to expand... Asilimia kubwa ni washirikina ndio maana kuna taharuki za mambo yanayoendana na ushirikina, kila ikikaribia uchaguzi. Asilimia kubwa ina maana sio wote ni washirikina. Ila ubaya, fitna, mizengwe, kurogana na hata ikibidi....kawaida sana kwenye siasa