Mheshimiwa Alikuwa anafanya nini hapa?

Mheshimiwa Alikuwa anafanya nini hapa?

Jamaa na matambiko yote ila kipindi ni waziri wahuni wakampopoa barabarani
images.jpeg-217.jpg
images.jpeg-216.jpg
 
Ndugu zangu Watanzania,

Sitaki kuweka neno ila ndio hivyo kama mnavyoona kwenye picha hapa. Sijuwi Mheshimiwa alikuwa anafanyiwa nini .

Si unajuwa Tanzania mambo mengi mpaka wananchi wanachanganyikiwa na kushindwa washike nini na waache nini.

Ukigeuka huku unakutana na habari hii,ukienda kule unakuta vile,ukitazama mbele unaona vile. .kikubwa ni wewe uchague cha kutizama na uwe na misimamo yako binafsi.View attachment 3055439

Alichoandika Kigwangala kuhusiana na picha hii

View attachment 3055449
Kigwangala kupitia X:

Ndugu wapendwa Gen Zee, salaams.

Napenda kuwafahamisha ya kwamba hili vazi siyo uchawi! Wala uganga. Ni vazi la kimila; yanaitwa Masunzu, ama Nsunzu, ama nyie waswahili mnaita rasta.

Kwa mila na desturi zetu huvaliwa na warriors wanaitwa Sungusungu! Hawa ni askari wa jadi.

Wanaume wanavaa makubwa na yenye nakshi nzuri zaidi ya wanawake. Mjue kuwa hizo rasta zilizaliwa huku.

Ahsanteni sana.

Wakatabahu,
HK.
Huyu jamaa haya mambo huwa anafanyiaga hadharani tena anakuwa na mpiga picha kabisa ….. kama cyo uchawi kwwny mila yao yeye ndo sungusungu pekee? Tena mara nyingi anafanya kipindi cha karibia uchaguzi
 
Jamaa na matambiko yote ila kipindi ni waziri wahuni wakampopoa barabarani
Haita musaidia safari hii..hali yake ni mbaya kisiasa. .na msako dhidi yake unaendelea... +255 Oparesheni ili mfinya na CHADEMA kwa ujumla wanamsaka kwa udi na uvumba..JOHN HECHE yuko huko yapata wiki sasa akiongozana na watia nia wa majimbo ya Nzega Vijijini/ Mjini,Igunga, Bukene..Leo hii wapo Nzega Mjini kwa Bashe.
 
WEWE HUWA UKIPENDA MWANAUME UNAMPENDA KWELI. NA HIVI HUNA KAZI UNAZUNGUKA TU HAPO LUMUMBA KORIDONI UMEWEKEWA BUNDLE. NI KULAMBA TU SOME PEOPLE'S ASS. SIKU HIZI UMEHAMA KABISA KWA MAKONDA TOKA ALIPOKUAMBIA TAFUTA KAZI UWE. BUSY.
Acha ujinga wako wewe.Nani kakwambia sina kazi za kufanya. Mimi ni mkulima na naendelea na kazi zangu kama kawaida.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Sitaki kuweka neno ila ndio hivyo kama mnavyoona kwenye picha hapa. Sijuwi Mheshimiwa alikuwa anafanyiwa nini .

Si unajuwa Tanzania mambo mengi mpaka wananchi wanachanganyikiwa na kushindwa washike nini na waache nini.

Ukigeuka huku unakutana na habari hii,ukienda kule unakuta vile,ukitazama mbele unaona vile. .kikubwa ni wewe uchague cha kutizama na uwe na misimamo yako binafsi.View attachment 3055439

Alichoandika Kigwangala kuhusiana na picha hii

View attachment 3055449
Kigwangala kupitia X:

Ndugu wapendwa Gen Zee, salaams.

Napenda kuwafahamisha ya kwamba hili vazi siyo uchawi! Wala uganga. Ni vazi la kimila; yanaitwa Masunzu, ama Nsunzu, ama nyie waswahili mnaita rasta.

Kwa mila na desturi zetu huvaliwa na warriors wanaitwa Sungusungu! Hawa ni askari wa jadi.

Wanaume wanavaa makubwa na yenye nakshi nzuri zaidi ya wanawake. Mjue kuwa hizo rasta zilizaliwa huku.

Ahsanteni sana.

Wakatabahu,
HK.
Ni wa Chama gani mpaka uone ajabu?
 
Acha ujinga wako wewe.Nani kakwambia sina kazi za kufanya. Mimi ni mkulima na naendelea na kazi zangu kama kawaida.
UNGEKUWA MKULIMA USINGEKUWA UNASHINDA LUMUMBA PALE KIJIWENI UNAGONGEA GONGEA VOUCHER NA KUKAA KUITA WATU BOSS, BOSS. KWA NINI MAKONDA ALIKUAMBIA TAFUTA KAZI USIMSUMBUE?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Sitaki kuweka neno ila ndio hivyo kama mnavyoona kwenye picha hapa. Sijuwi Mheshimiwa alikuwa anafanyiwa nini .

Si unajuwa Tanzania mambo mengi mpaka wananchi wanachanganyikiwa na kushindwa washike nini na waache nini.

Ukigeuka huku unakutana na habari hii,ukienda kule unakuta vile,ukitazama mbele unaona vile. .kikubwa ni wewe uchague cha kutizama na uwe na misimamo yako binafsi.View attachment 3055439

Alichoandika Kigwangala kuhusiana na picha hii

View attachment 3055449
Kigwangala kupitia X:

Ndugu wapendwa Gen Zee, salaams.

Napenda kuwafahamisha ya kwamba hili vazi siyo uchawi! Wala uganga. Ni vazi la kimila; yanaitwa Masunzu, ama Nsunzu, ama nyie waswahili mnaita rasta.

Kwa mila na desturi zetu huvaliwa na warriors wanaitwa Sungusungu! Hawa ni askari wa jadi.

Wanaume wanavaa makubwa na yenye nakshi nzuri zaidi ya wanawake. Mjue kuwa hizo rasta zilizaliwa huku.

Ahsanteni sana.

Wakatabahu,
HK.
Babu yangu marehemu kwa Sasa alinambia epuka mtu MNAFIKI na muepuke Kama ukoma mwisho wa kunukuu..
 
UNGEKUWA MKULIMA USINGEKUWA UNASHINDA LUMUMBA PALE KIJIWENI UNAGONGEA GONGEA VOUCHER NA KUKAA KUITA WATU BOSS, BOSS. KWA NINI MAKONDA ALIKUAMBIA TAFUTA KAZI USIMSUMBUE?
Naona umenifananisha. au wewe itakuwa ndio unashinda hapo Lumumba .mimi ni mkulima
 
Back
Top Bottom