Mheshimiwa Alikuwa anafanya nini hapa?

Mheshimiwa Alikuwa anafanya nini hapa?

Ndugu zangu Watanzania,

Sitaki kuweka neno ila ndio hivyo kama mnavyoona kwenye picha hapa. Sijuwi Mheshimiwa alikuwa anafanyiwa nini .

Si unajuwa Tanzania mambo mengi mpaka wananchi wanachanganyikiwa na kushindwa washike nini na waache nini.

Ukigeuka huku unakutana na habari hii,ukienda kule unakuta vile,ukitazama mbele unaona vile. .kikubwa ni wewe uchague cha kutizama na uwe na misimamo yako binafsi.View attachment 3055439

Alichoandika Kigwangala kuhusiana na picha hii

View attachment 3055449
Kigwangala kupitia X:

Ndugu wapendwa Gen Zee, salaams.

Napenda kuwafahamisha ya kwamba hili vazi siyo uchawi! Wala uganga. Ni vazi la kimila; yanaitwa Masunzu, ama Nsunzu, ama nyie waswahili mnaita rasta.

Kwa mila na desturi zetu huvaliwa na warriors wanaitwa Sungusungu! Hawa ni askari wa jadi.

Wanaume wanavaa makubwa na yenye nakshi nzuri zaidi ya wanawake. Mjue kuwa hizo rasta zilizaliwa huku.

Ahsanteni sana.

Wakatabahu,
HK.
HUYU KAGOMBANA NINI NA KAFULILA MPAKA UNAMSHAMBULIA CCM MWENZETU?
 
Amepita kwenye mioyo na wananchi wanasubiri wakapige tiki tu kwenye jina lake. Evelyn Salt hivi unajuwa kuwa ephen wangu kuzuiwa kutembelea jukwaa hili hadi tarehe 18 huko mwezi ujao.saizi ephen wangu amejishindia zake jukwaa la michezo .huko ndio nakokwenda kumpa faraja na kuondoleana upweke
Luca unafanya siasa hadi kwenye mapenzi 😹😹
 
Ndugu zangu Watanzania,

Sitaki kuweka neno ila ndio hivyo kama mnavyoona kwenye picha hapa. Sijuwi Mheshimiwa alikuwa anafanyiwa nini .

Si unajuwa Tanzania mambo mengi mpaka wananchi wanachanganyikiwa na kushindwa washike nini na waache nini.

Ukigeuka huku unakutana na habari hii,ukienda kule unakuta vile,ukitazama mbele unaona vile. .kikubwa ni wewe uchague cha kutizama na uwe na misimamo yako binafsi.View attachment 3055439

Alichoandika Kigwangala kuhusiana na picha hii

View attachment 3055449
Kigwangala kupitia X:

Ndugu wapendwa Gen Zee, salaams.

Napenda kuwafahamisha ya kwamba hili vazi siyo uchawi! Wala uganga. Ni vazi la kimila; yanaitwa Masunzu, ama Nsunzu, ama nyie waswahili mnaita rasta.

Kwa mila na desturi zetu huvaliwa na warriors wanaitwa Sungusungu! Hawa ni askari wa jadi.

Wanaume wanavaa makubwa na yenye nakshi nzuri zaidi ya wanawake. Mjue kuwa hizo rasta zilizaliwa huku.

Ahsanteni sana.

Wakatabahu,
HK.
Swali na jibu ni tofauti wala havihusiani, swali alikuwa anafanyiwa nini na si alikuwa amevaa nini, ajifunze kujibu maswali na huenda ndicho kisa cha kuishia darasa la nne kama Lucas Mwashambwa.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Sitaki kuweka neno ila ndio hivyo kama mnavyoona kwenye picha hapa. Sijuwi Mheshimiwa alikuwa anafanyiwa nini .

Si unajuwa Tanzania mambo mengi mpaka wananchi wanachanganyikiwa na kushindwa washike nini na waache nini.

Ukigeuka huku unakutana na habari hii,ukienda kule unakuta vile,ukitazama mbele unaona vile. .kikubwa ni wewe uchague cha kutizama na uwe na misimamo yako binafsi.View attachment 3055439

Alichoandika Kigwangala kuhusiana na picha hii

View attachment 3055449
Kigwangala kupitia X:

Ndugu wapendwa Gen Zee, salaams.

Napenda kuwafahamisha ya kwamba hili vazi siyo uchawi! Wala uganga. Ni vazi la kimila; yanaitwa Masunzu, ama Nsunzu, ama nyie waswahili mnaita rasta.

Kwa mila na desturi zetu huvaliwa na warriors wanaitwa Sungusungu! Hawa ni askari wa jadi.

Wanaume wanavaa makubwa na yenye nakshi nzuri zaidi ya wanawake. Mjue kuwa hizo rasta zilizaliwa huku.

Ahsanteni sana.

Wakatabahu,
HK.
No elevation without sacrifices,ufanye kwa Mungu au shetani,ufanye kwa siri au waziwazi
 
Sasa si aseme tu Ndugu zangu waTanzania, mwenzenu nimetoka KUTAMBIKA.

Sisi tutamuelewa tu wala sio aibu wala ajabu hata Chifu wa Machifu, Chifu Hangaya analijua hilo.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Sitaki kuweka neno ila ndio hivyo kama mnavyoona kwenye picha hapa. Sijuwi Mheshimiwa alikuwa anafanyiwa nini .

Si unajuwa Tanzania mambo mengi mpaka wananchi wanachanganyikiwa na kushindwa washike nini na waache nini.

Ukigeuka huku unakutana na habari hii,ukienda kule unakuta vile,ukitazama mbele unaona vile. .kikubwa ni wewe uchague cha kutizama na uwe na misimamo yako binafsi.View attachment 3055439

Alichoandika Kigwangala kuhusiana na picha hii

View attachment 3055449
Kigwangala kupitia X:

Ndugu wapendwa Gen Zee, salaams.

Napenda kuwafahamisha ya kwamba hili vazi siyo uchawi! Wala uganga. Ni vazi la kimila; yanaitwa Masunzu, ama Nsunzu, ama nyie waswahili mnaita rasta.

Kwa mila na desturi zetu huvaliwa na warriors wanaitwa Sungusungu! Hawa ni askari wa jadi.

Wanaume wanavaa makubwa na yenye nakshi nzuri zaidi ya wanawake. Mjue kuwa hizo rasta zilizaliwa huku.

Ahsanteni sana.

Wakatabahu,
HK.
Pamoja na kwenda shule kote bado anaamini katika kuvaa katani kichwani
 
Back
Top Bottom