Mheshimiwa Chande Maharage karibu Shirika la Posta

Mheshimiwa Chande Maharage karibu Shirika la Posta

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu hapa Shirikani. Digitali kizazi sana! Tupo tayari
 
Naona kama Posta unampoteza njia, nilisikia anakwenda shirika la simu(TTCL), au na wewe umemhamisha kwa uteuzi wako.
 
mwache atengeneze njia za upigaji hivi unajua uchaguzi kuanzia mwaka kesho
 
Fufua mradi wa mabasi ya kwenda mkoani
 
Tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu hapa Shirikani. Digitali kizazi sana! Tupo tayari
Shirika la Posta Tz (TPC) ni Shirika la Serikali ambalo Limekufa Kibudu kutokana na Ujima na Ukale wa Mawazo na Fikra za Watendaji wa Shirika hili.
TTCL nayo iko katika Boti moja na TPC.
 
Back
Top Bottom