Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,658
Huyu Mzee ni nomaaa,Jubilei ya jana kageuka gumzo yeye kuliko wahusika!
Huyu Mzee ni nomaaa,Jubilei ya jana kageuka gumzo yeye kuliko wahusika!
Hapana kwa safari nyingi za nje kuliko ndaniMkuu, kwani maarufu wa mtu unapimwa kwa wingi wa accounts za Facebook?
Appreciate thatKukaa kimya na kutabasamu ni siri ya Umaarufu wake.
Smile and Silence is the key to social intelligence.
Marahabaaaa maiyeShikamoo Lowassa!
Watu mnapenda kujifariji!!!Huyu Mzee ni nomaaa,Jubilei ya jana kageuka gumzo yeye kuliko wahusika!
ni moja ya sababu maana kila mtu ana tumia jina la lowasa akiamini atapata watu wengiMkuu, kwani maarufu wa mtu unapimwa kwa wingi wa accounts za Facebook?