Mheshimiwa Edward Lowassa ni maarufu sana mitandaoni

Mheshimiwa Edward Lowassa ni maarufu sana mitandaoni

Askari Muoga

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
6,113
Reaction score
4,658
Mhe Edward Lowassa, jina lake ni maarufu sana kuliko majina mengine Facebook. Watu wengi wanalitumia jina lake Facebook yaani account za facebook.

Pia kuna Facebook pages nyingi sana zinatumia jina lake.
 
Kukaa kimya na kutabasamu ni siri ya Umaarufu wake.
Smile and Silence is the key to social intelligence.
 
Huyu Mzee ni nomaaa,Jubilei ya jana kageuka gumzo yeye kuliko wahusika!

Tatizo akili zenu mnazishawishi nini zifikiri.
Lowasa lowasa,mlishamchafua hamuwezi kumsafisha ishatoka hiyo
 
Lowassa ni mtu makini sana, Mungu amempa busara, hekima na maarifa ya juu sana ktk kuamua na kutenda mambo mbalimbali.
 
Mkuu, kwani maarufu wa mtu unapimwa kwa wingi wa accounts za Facebook?
 
Kwani ile ilikua sherehe ya lowasa au Nani... Cause kila mtu Anataja lowasa
 
2016-08-28-09-16-12--362153434.jpeg


swissme
 
Back
Top Bottom