Mheshimiwa John Komba kwenye EATV-Mkasi

Mheshimiwa John Komba kwenye EATV-Mkasi

Anaweza kusema makubwa zaidi kwa sababu kesha kata tamaa na jinzi wanavyo mkataa sasa hivi huko ccm. Mwl. alisema hivi; Kiongozi asiye na adabu, muhunihuni, aondoke mwenyewe ccm. Jitu zima leo lishikwe na kimwana Lulu ambaye kiuhalisia ni ka mtoto wake wa 5, linaenda kumvulia nguo, hiyo kwetu tunasema; Jitu hilo limemlaani huyo binti.
Juzi kati limepigwa picha za utupu na vimwanga, huyo, hafai hata kudeki pale Lumumba acha kukata nyasi. Mwakani Komba jina lako halirudi hivyo usijisumbue kupoteza vijisenti vyako kugombea ubunge ccm wataweka hata jiwe
 
Maneno hayo ni ya capt.?


Fikiria mtu kanyang'anywa nguo kabaki uchi wa mnyama pale kariakoo, atakosa kuchanganyikiwa?! Atamshambulia kila ajaye mbele yake bila kujua ni rafiki au adui
 
Vipi anataka kutoa 2nd episode ya picha za kungonoka ? Mzee wa kungonoka ana mambo!
 
Kwani ni ccm wenzie walimpiga picha na kuzipost?
 
Back
Top Bottom