Mbona mnashindwa kutoa sababu? Kama ni ufanya kazi tu mbona Lowassa alikuwa ni mchapa kazi asiye mfano? Toeni sababu na mafanikio ya huyu bwana!
Siasa za ushabiki ndizo zilizotufikisha hapa. Kama mnataka kuziendelea basi msimlalamikie mliemchagua kwa kishindo!
Amandla.......
utasababisha jk abadilishe hata baraza la mawaziri ili amtoe. Nyamaza, let time solve and bring him to power. You know everyone loves Pombe because the old chap is a realist not idealist.
wewe ni wa kuepukwa sana nchini Tanzania gadem.tatizo lake ni MSUKUMA!
Mbona mnashindwa kutoa sababu? Kama ni ufanya kazi tu mbona Lowassa alikuwa ni mchapa kazi asiye mfano? Toeni sababu na mafanikio ya huyu bwana!
Siasa za ushabiki ndizo zilizotufikisha hapa. Kama mnataka kuziendelea basi msimlalamikie mliemchagua kwa kishindo!
Amandla.......
tatizo lake ni MSUKUMA!
Endelea kuwapigia debe mafisadi wanaokupa kitu kidogo. Usione kimya members wanakufahamu vilivyo hawawezi kukupa sababu.
Vibaka waliopo sasa hawafai tena ipo siku watajibu tu, si unakumbuka yaliyowapata kina Ceusesko kule Yugoslavia.

Hata mwezi haujapita toka ujiunga tayari umeishanifahamu thika!
Na huyo Ceusesko wa Yugoslavia ni nani? Ignorance haijifichi hata siku moja.
Amandla........
Nilikuwa nakusoma na kukuchambua inside out kabla ya kuvamia jukwaa khe khe khe. unafikiri watanzania wote tumelala. sio lazima nijiunge ndio nianze kuchangia.
FYI Nipo hapa tangu alifu.
Endelea kuwapigia debe mafisadi wanaokupa kitu kidogo. Usione kimya members wanakufahamu vilivyo hawawezi kukupa sababu.
Vibaka waliopo sasa hawafai tena ipo siku watajibu tu, si unakumbuka yaliyowapata kina Ceusesko kule Yugoslavia.
Nadhani ulimaanisha Nicolae ceausescu wa Romania,elewa kuna wachambuzi humu JF,hivyo pima bandiko lako kabla ya kuleta taarifa potofu la sivyo utatolewa nishai.
Hebu ona kama kuna jinga ambalo haliwezi kufahamu mambo ya Yugoslavia utaliambia nini? Litaendelea kupigia debe mafisadi hadi kiama.
Always I've been impressed by the work done in any Ministry where Dr. John Pombe Magufuli has been a Minister. The guy is focus and wants Tanzania to move ahead. However, his personal hatred towards the opposition political parties makes me sick. Now if he becomes President or PM of the Republic with the swipping state powers in his hands would he not turn into a dictator? I'm yet to be convinced otherwise.[/QUOTE
hizi democrasia sijui ndo demoghasia ndo zinazotula....na tutakwisha kimya kimya mpaka tukubali kuongozwa kidictator....serikali inawaogopa mafi-sadi kwa sbb ya huu upuuzi wa democrasia....ndo maana i loved the then iraq under sadam hussein....teh teh and i love china, if you wanna join me in these visit cities like Shenzhen,guanzhou, shangai in china etc....wee kaa unaintertain maandamano, mafisadi, majungu ngazi zote za utendaji,posho mbilimbili uone kama hamujaisha.....
...huwa nachoka pale waziri mkuu na rais nao wanasimama majukwaani wanalialia eti oooh maafisa kilimo wanavaa suti!!!!mara oooh NGO zinazotumia advantage ya less preveleged tunazijua zijirekebishe zenyewe!!!mara oooh mafisaji wana nguvu sana tuwaendee taratibu!!!!
kama baba akiogopa kufungua mlango kama kuna kasheshe nje usiku nani atadare????ndo maana watu wanajaribu kidogo kupinga ufisadi alafu wanamsiiiiifu rais aliyewachagua kuwa ni hodari sana...wengine juzi wanasema tuwalaumu watu wa chini tumuache aliyewateua....usimlaumu aliyepika ugali mbichi ulaumu ugali wenyewe teh teh teh tihi tih iiiiiii iiii nalia mimi.
mwenzenu napata taabu kidogo, sijui jinsi gani mheshimiwa huyu ashawishiwe na kukubali ombi hili. Natamani sana john pombe magufuli awe rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania, kama sio sasa kwa sababu za taratibu za ccm, basi zamu inayofuata.
Vyovyote iwavyo, naamini huyu bwana anafaa kila kona uwanjani anapocheza siasa. Hata phd aliyoipata majuzi inaongezea chachandu tu, kwamba hatababaishwa na vyeti vya udaktari wa kupewa zawadi tu, maana anayo real one.
Sina uhusiano naye kabisa huyu mtu na wala sijawahi kukaa naye au kuonana karibu, lakini vitu vyake mwisho bwana. Naamini atachagua timu ya washauri inayofanana naye. Hata kama anayo mapungu yake kama binadamu, the good outways the bad, wakati mwingine analazimika kufanya vitu vingine kwa kuwatii wakubwa zake, lakini akishika rungu mwenyewe nashawishika (sidanganyiki) kwamba ataifaa tanzania ya sasa.
Leka
.......... akimaliza tumpe nae tuone wapi atakupeleka............