........ si unakumbuka yaliyowapata kina Ceusesko kule Yugoslavia.
Ceasescu alikuwa kutoka Romania. Alikuwa dikteta mchapa kazi. Kama huyo Magufuli atakuwa kama yeye basi Tanzania tutakuwa tushaingia katika dunia ya kwanza!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
........ si unakumbuka yaliyowapata kina Ceusesko kule Yugoslavia.
tatizo lake ni MSUKUMA!
Watanzania bwana! mtasifia hata visivyohitaji kusifiwa! Halafu mtu unamsifia mtu eti anafaa kuwa Rais bila hata kuweka data ya yapi aliyoyafanya hadi kustahili kuwa Rais wa Tanzania...Huyu Magufuli kama kweli ameweka mbele maslahi ya Tanzania si angekuwa mstari wa mbele kupinga kuuzwa nyumba za Serikali kwa bei ya kutupa na matokeo ya uuzaji wa nyumba hizo yameisababishia Serikali hasara ya $200. Kwa kuwalipia wafanyakazi waliostahili kupewa nyumba za Serikali gharama za mahoteli kwa miezi chungu nzima na wanene wa Serikali kuzikarabati nyumba hizo kwa mabilioni ya shilingi za walipa kodi kasha kujiuzia kwa bei ya kutupa. Si ndiye huyu huyu alihusika na kashfa ya samaki waliokamatwa katika meli za kigeni na yeye kulazimisha wahifadhiwe katika chumba cha baridi ambacho kilikuwa kinacharge gharama kubwa kwa siku na matokeo yake Serikali imelipa mabilioni ya shilingi kutokana na gharama hizo.
Kama kuna mazuri ya huyu bwana na yeye yuko ndani ya Serikali ya Kiwete ambayo Watanzania hawana imani nayo je ni mazuri gani hayo mnayoyazungumzia!? Yawekeni hapa basi ili na wengine tuyajue vinginevyo huyu naye ni fisadi tu kwa kushindwa kupinga uuzaji wa nyumba za Serikali uliopingwa na Watanzania wengi vikiwemo vyama vya upinzani, uuzaji wa nyumba ambao Mkapa aliupigia debe.
.....and who do you think he may fits for this position?
That is a different debate, but NOT Magufuli.
.....and who do you think he may fits for this position?
huyu jamaa udhaifu wake ni mademu!halafu huwa hafichi!wasukuma wanapenda sana show-off!
alikuwa anakuja sana mabibo hostel kwa dem wake,tena na gari ina namba za waziri!wasukuma sometimes sio
LAKINI ANAFAA
Kwanini mnadhani rais lazima atoke ccm? watu walioko ccm si ndio hao hao, maana Kikwete kabla ya kuingia madaraka vijana wengi na jamii kubwa walikuwa na matumaini makubwa sana.
Nakumbuka first week baada ya kutangaza baraza la mawaziri alikuwa anatembelea wizarani kuwaeleza vision na matarajio ya wananchi kwa kila wizara, it was really convincing move..yet four years down the line..ameanza ku-bore hadi anafikia kutuambia wa Tanzania ni wadokozi .aagh! what a joke? eti kamuuliza mwenye hoteli? sample gani sasa ku-generalize kuwa ni Watanzania wote?
Magufuli, Kikwete, Mkapa, Malecela, mwakyembe, Makamba bado mnaona kuna tofauti basi mnajidanganya..tafuteni mtu nje ya system period!
Nilikuwa namwona!
kabla nilidhani ni mwanae,lakini kuja kupata dataaz.....?!lol
LAKINI ANAFAA MKUU!
MKUU,
mimi nilikutana na msukuma kwenye shopping zetu za uswazi alinichosha pale aliposema:
NAOMBA NIUZIWE SHATI LA SH 50,000/=
Bahati mbaya tu ni kwamba sim-support MboweOMG,
Naona neema imefunguliwa hapa kwa mpendwa Tumaini..
Ninaanzisha wimbo..
Mwanzilishi: Neema neema neema imefunuliwa
Waitikiaji: Neema neema neema imefunuliwa
rudia hapo juu
x3
Mwanzilishi: Neema kwa vijana neema imefunuliwa
Waitikiaji: Neema neema neema imefunuliwa
Mwanzilishi: Neema kwa Tumaini neema imefunuliwa
Waitikiaji: Neema neema neema imefunuliwa
Rudia tena tokea juu
Bahati mbaya tu ni kwamba sim-support Mbowe
Kumbe mtunzi wa mapambio siku hizi wa kanisa gani kakobe au kwa lwakatare?Bwa ha ha ha,
Unataka nianze pambio lingine?
Hapa naona umezidisha mkuu!
Magufuli yupi? huyu aliegawa nyumba za serikali kwa wadogo zake na aliehonga mahawala?!
Kesi ikifanyika kwa haki mwenye meli atatakiwa kulipa gharama zote za uendeshaji wa kesi zikiwamo hizo bilioni za uhifadhi wa samaki.Au Magufuli alie hifadhi samaki kwa milioni 100 kwa mwezi na kuishia kuwagawa bure?!
afadhali uwe mkamdodia kwani watu kama ninyi ndio mnaowakabidhi nchi mafisadi!Wakati mnaendelea na spinning zenu na hatimae kumuingiza Ikulu nie nahangaikia taratibu za kupata uraia wa Cambodia!
Kweli kazidisha