Uchaguzi 2020 Mheshimiwa Mbowe Jimbo la Hai ni dogo sana, mpige tafu Lissu

Uchaguzi 2020 Mheshimiwa Mbowe Jimbo la Hai ni dogo sana, mpige tafu Lissu

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Tangu uonekane pale Zakheim ukiwafurusha TBC, na kumwaga nondo jinsi CCM inavyowatesa watanzania kwa zaidi ya miaka mitano umekuwa kimya.

Umemuacha Lissu apambane peke yake, na sasa mgombea wetu ni kama amepanick,kwa hiyo anahitaji msaada wa mwenyekiti wa chama.

Maana wewe kuwepo kunaweza kumtuliza ili asiropoke maneno hovyo. Maana wengine wameanza kusema anakiuka maadili na sheria za uchaguzi,kwa kuanza kuropoka hovyo.

Mbona Zitto anagombea ubunge lakini anafanya kampeni huko kusini na Zanzibar. Pia na wewe ungana na Lissu ili kuongenza nguvu.
 
Wapi alikopaninki Lissu.

Magufuli ndio amepaniki maana kampeni zimemshinda amebaki kutishia kuwanyima wananchi maendeleo wasipowachagua wabunge na madiwani wa CCM.

Magufuli amepaniki umefika wakati wananchi tunashindwa kuelewa anachokifanya ni kampeni ama ziara za kiserikali.
 
Lissu anajiweza anajitosheleza anajimudu anajikidhi. Anamwaga sera Ilani Elimu historia ya nchi nk nk.

Lissu siyo kama Lowasa wala Magufuli anayetegemea Fiesta Maloli na watoto kwenye mikutano yake.

Kamanda uliyechoka umeamua kuunga Juhudi kama Yehodaya Jingalao kawe almni na wengine wanaolipwa buku 7?
 
Wapi alikopaninki Lissu...

Magufuli ndio amepaniki maana kampeni zimemshinda amebaki kutishia kuwanyima wananchi maendeleo wasipowachagua wabunge na madiwani wa CCM.

Magufuli amepaniki umefika wakati wananchi tunashindwa kuelewa anachokifanya ni kampeni ama ziara za kiserikali.
Watanzania hawataki JPM Wala maendeleo ,wanataka HAKI kwanza . mengine yaja mengi tena mazuri
 
Wapi alikopaninki Lissu...

Magufuli ndio amepaniki maana kampeni zimemshinda amebaki kutishia kuwanyima wananchi maendeleo wasipowachagua wabunge na madiwani wa CCM.

Magufuli amepaniki umefika wakati wananchi tunashindwa kuelewa anachokifanya ni kampeni ama ziara za kiserikali.
Nasikia anaropoka kinyume na maadili ya uchaguzi,anasema Magufuli ni mwizi.
 
Tundu Lissu ni tingatinga...... Mwacheni mwenyekiti apumzike.....

Piga spana baba Lissu pigaa hao mataga, ondoa huo uchafu wa hapa kazi tu
 
Liss anajiweza anajitosheleza anajimudu anajikidhi. Anamwaga sera Ilani Elimu historia ya nchi nk nk.

Lissu siyo kama Lowasa wala Magufuli anayetegemea Fiesta Maloli na watoto kwenye mikutano yake.

Kamanda uliyechoka umeamua kuunga Juhudi kama Yehodaya Jingalao kawe almni na wengine wanaolipwa buku 7?
Na rafiki yangu MAGONJWA MTAMBUKA 🤣🤣 Ongeza
 
Back
Top Bottom