Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Hai ni jimbo dogo, anaweza kufanya kampeni siku kumi. Amsaidie Lissu.Mbowe huyu huyu mwangushwa konyagi na mla billion 8 za michango ya wabunge ndiyo aokoe jahazi la Lisu?
Yule. Mggombea anayesema "wewe mama unataka upanululiwe wapi? Huyu ndiye anaropoka.Maana wewe kuwepo kunaweza kumtuliza ili asiropoke maneno hovyo
Watanzania hawataki JPM Wala maendeleo ,wanataka HAKI kwanza . mengine yaja mengi tena mazuriWapi alikopaninki Lissu...
Magufuli ndio amepaniki maana kampeni zimemshinda amebaki kutishia kuwanyima wananchi maendeleo wasipowachagua wabunge na madiwani wa CCM.
Magufuli amepaniki umefika wakati wananchi tunashindwa kuelewa anachokifanya ni kampeni ama ziara za kiserikali.
Nasikia anaropoka kinyume na maadili ya uchaguzi,anasema Magufuli ni mwizi.Wapi alikopaninki Lissu...
Magufuli ndio amepaniki maana kampeni zimemshinda amebaki kutishia kuwanyima wananchi maendeleo wasipowachagua wabunge na madiwani wa CCM.
Magufuli amepaniki umefika wakati wananchi tunashindwa kuelewa anachokifanya ni kampeni ama ziara za kiserikali.
Sasa shida ipo wapi?Nasikia anaropoka kinyume na maadili ya uchaguzi,anasema Magufuli ni mwizi.
Hujui kusoma?Sasa shida ipo wapi?
Kwani sio mwiziNasikia anaropoka kinyume na maadili ya uchaguzi,anasema Magufuli ni mwizi.
Alikuwa haonekani majukwaani?Mheshimiwa Mbowe ametembea na Lissu Mbagala, Kawe, Segerea, Arusha, Mwanza, Shinyanga, Tabora, Dodoma, Mbeya, Mtwara, Unguja. Nilitaka tuweke kumbukumbu zetu sahihi.
Na sasa ameanza kushindwa kuvaa kofia.Yule. Mggombea anayesema "wewe mama unataka upanululiwe wapi? Huyu ndiye anaropoka.
Hoja gani hizi?Na sasa ameanza kushindwa kuvaa kofia.
Na rafiki yangu MAGONJWA MTAMBUKA 🤣🤣 OngezaLiss anajiweza anajitosheleza anajimudu anajikidhi. Anamwaga sera Ilani Elimu historia ya nchi nk nk.
Lissu siyo kama Lowasa wala Magufuli anayetegemea Fiesta Maloli na watoto kwenye mikutano yake.
Kamanda uliyechoka umeamua kuunga Juhudi kama Yehodaya Jingalao kawe almni na wengine wanaolipwa buku 7?
Ahaaaa,kusema ukweli kwa manufaa ya Cdm,imekuwa kosa?Na rafiki yangu MAGONJWA MTAMBUKA 🤣🤣 Ongeza
Acha ushabiki wa kipuuzi.Kwani sio mwizi