Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Simba wavumilivu sanaMara baada ya kupata wasaha wakumsikiliza mara kadhaa, nimejiridhisha kuwa ndugu zetu wa Simba wana kila sababu ya kuhakikisha anabaki madarakani ili kuimarisha timu yao.
Sioni kiongozi wakumzidi pale Simba, huyu anaweza kuongoza hata taasisi kubwa na ya heshima kama Yanga au Ikulu.
Hongereni sana makolo.
Anaweza yule, wamlete pale tuenjoy.Ukimleta Mangungu Yanga hata week hamalizi.
ππππππ€£π€£π€£huyu anaweza kuongoza hata taasisi kubwa na ya heshima kama Yanga au Ikulu.
yes.ππππππ€£π€£π€£
Naam. Naunga mkono hoja.Mangungu aongezewe ulinzi. Ikiwezekana alindwe kwa wivu mkubwa.