MrFroasty
JF-Expert Member
- Jun 23, 2009
- 1,195
- 595
Kihistoria huyu ndo Raisi aliyesafiri zaidi nje ya nchi kwa kipindi kifupi cha utawala (4yrs) wake????????
Alinifurahisha sana alipokuwa Jamaica, amekaa kwenye bembea halafu anaomba ujuzi wa kupiga mziki wa ragae.......🙄
