pengine anaipenda jamani, hivi Rais ni mtendaji Mkuu? kwani kuna lipi kaliacha ambalo halitekelezeki mpaka uwepo wake? yeye anapangiwa ratiba na ikulu na anaifuata. acheni kumsemasema our honourable Kikwete
anaipenda sana ndiyo maana anazunguka huku na kule kututafutia riziki ulaya america asia na mashariki ya mbali.........hiyo yote ni kwa sababu anaipenda sana tz na watru wake vinginevyo mngemuona baba mwenye nyumba anakaa tu nyumbani bado watoto mngekufa njaaaa..............yupo kututafutia riziki majuu kwa hiyo msihofu.........
MJENGA NCHI NI MWANANCHI NA MBOMOA NCHI NI HUYOHUYO MWANANCHI...
hahaha
rais anaipenda jamaica, kwanza kuna ma bembea kibao tu mazuri..hapa bongo hamna hata bembea moja;
si mliona jinsi alivokuwa ana enjoy alivokuwa jamaica..yaani anasikia burudaaaani..
hapa nchi imeingia choo cha kike...
Kiongozi ni reflection ya watu anaowaongoza, kama hawafai msingemchagua, au kama mlimchagua bila kufahamu, mtoeni, kama hamuwezi kumtoa maana yake anawafaa!
toka enzi za mwalimu kikwete anapenda urais zaidi kuliko nchi yake ndiyo maana hana hamu ya kukaa ma kusikiliza matatizo ya wananchi walioko vijijini anaishia mjini ambako nako wanapopolea mawe misafara yake......................amechoka anachofnaya saaizi ni kuchukua chake mapema