Kwa hiyo watakuwa wa bunge wakuteuliwa au Rais ndiye atakaye wapigia kura?.wakina lema, mnyika, sugu, wameshaona mwakani hawarudi bungeni, wanachofanya ni kumpigia magoti Magufuli awaonee huruma na kuwaachia ubunge wao, chadema wanataka maridhiano kwa maslahi yao binafsi
Walitukana wakiamini uchaguzi uko mbali sana! Sasa wamesogelea kaburi ndo wanaanza kutubu. Labda kweli huo ndo ubora wa wanasiasa wetu lakini, sitawasamehe kwa kujivisha ushujaa na kuwanyima viongozi wa mitaa nafasi ya kugombea.Mkiwa wastaarabu kama Hivi Rais atawasikiliza
Sasa kipindi kile mnamuita Rais mshamba,dikteta unadhani angewasikiliza?
tena Wabunge ndio walikuwa wanatamka haya maneno bora hata ingekuwa Wananchi wa kawaida
Jaribu kusoma uzi huu taratibu, japo una kichwa cha nazi kifuu, utaelewa maudhui yanayokudiwa. Hata hivyo uzi nimemwandikia Mhe. Rais, najua huwa anaingia humu, atasoma na kuelewa tofauti na akina ninyi vibwengo.Kwa hiyo watakuwa wa bunge wakuteuliwa au Rais ndiye atakaye wapigia kura?.
Walikataa kumtambua Kama Raisi Tena kwa tamko la chama na wakawataka wanachama wao wasimtambue na wasiende siku ya kuapishwa wao na askofu mkuu wao wa KKKT mchaga mwenzao Shoo kutoka kule Kilimanjaro.Msidhani tumesahau"Yehodaya" ni wapi Chadema wamewahi kumkosea Rais Magufuli zaidi ya kumkosoa!!? Chadema mapema kabisa walilalamikia elements za maamuzi ya kidikteta ya Rais. Kama Chama cha siasa cha upinzani ni haki yao kukosoa hata kukemea hali isiyowaridhisha. Tabia hiyo ya maamuzi ya kibabe ya Rais ndiyo imeifikisha nchi katika sintofahamu ya kuwateulia Wananchi viongozi wao.
Sasa kwa kuwa wapinzani wanaonyesha tabia ya kistaarabu ya kutaka MARIDHIANO dhidi ya umwamba, wewe unataka wapige magoti kwanza. Kweli!!!?
Unazungumza Kama mmoja wa mabaradhuli. Tukiwasema mliowauwa patakalika hapa.Walikataa kumtambua Kama Raisi Tena kwa tamko la chama na wakawataka wanachama wao wasimtambue na wasiende siku ya kuapishwa wao na askofu mkuu wao wa KKKT mchaga mwenzao Shoo kutoka kule Kilimanjaro.Msidhani tumesahau
Askofu Malasusa wa dayisisi ya mashariki na Pwani ndie aliokoa jahazi akaenda kuokoa jahazi isijeonekana KKKT yote haimtambui Magufuli na imemsusa
Leo mnajitia hamjui makosa yenu sio? Anayetupa maganda ya ndizo hakumbuli aliyemtupia lakini tuliotupiwa na Magufuli wetu hatusahau ng'ooo Hilo mkae mkijua
Ushahidi uuwekeUnazungumza Kama mmoja wa mabaradhuli. Tukiwasema mliowauwa patakalika hapa.
Mnatazama kibanzi wakati mna boriti!!!?
Wewe toka Mh Edo arudi nyumbani kwao ccm umechanganyikiwa. Umeshindwa kutambua ni wapi usimame.CHADEMA ndio wenye shida ya maridhiano, ndio wanatakiwa wampigie magoti na kumuomba Maguful mpaka awakubalie,
Hivi unategemea kuwa kwa upande wa ccm hali itaemdelea hivi hivi ilivyo kwa Wabunge wake? Wao ndiyo watakaokuwa na hali mbaya kuliko hao uliowataja. Muda ni mwalimu mzuri.wakina lema, mnyika, sugu, wameshaona mwakani hawarudi bungeni, wanachofanya ni kumpigia magoti Magufuli awaonee huruma na kuwaachia ubunge wao, chadema wanataka maridhiano kwa maslahi yao binafsi
Ushamba wa Magufuli umezungumzwa na vigogo wa CCM akina Kinana na Nape na wengineo, siyo CHADEMA.Mkiwa wastaarabu kama Hivi Rais atawasikiliza
Sasa kipindi kile mnamuita Rais mshamba,dikteta unadhani angewasikiliza?
tena Wabunge ndio walikuwa wanatamka haya maneno bora hata ingekuwa Wananchi wa kawaida