mwambunnyara
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 518
- 208
Wapi huko mkuuCiment ya dangote 10000 tayar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi huko mkuuCiment ya dangote 10000 tayar
Katangaza Leo.. Katoa bei elekezi...Wapi huko mkuu
Ilikiwa ahadi ya mgombea,mpaka leo ni serikali ya mtu si ya chamaKwa hiyo hii ilikuwa ahadi ya chama au ya mgombea_? Nakumbuka chadema waliitumia sana 2010!
Sasa dangote cement utaanza kuipata kwa Tsh 10,000 kwa mfuko....Nakukumbusha mh rais, moja ya ahadi zako kubwa ulizotoa wakati wa kampeni ni kutupunguzia bei ya vifaa vya ujenzi ili sisi masikini tunaoishi kama mashetani tuweze kujitengenezea vibanda vyetu vyenye utu kidogo vya kuishi.
Ni muda sasa sijasikia sio waziri wako wala wewe ukizungumzia mikakati ya kutekeleza hilo. Bajeti ya wizara ya ujenzi na pia ile ya viwanda zimepita bila kulizungumzia hili.
Tunaomba Rais utuambie hii ahadi utaitekeleza lini ili na sisi wanyonge tuweze kuishi kama binadamu, kwa kuachana na maisha ya kijima ya kuishi kwenye nyumba za tembe?!
Ni mimi mpiga kura wako ninayekupenda sana na kukufagilia sana kwa utendaji wako!
Kwa mfano mie sasa hivi nataka Bati ndo zishukeVifaa vya ujenzi kwa ujumla wake. Bati, nondo , simenti. Viwandz vyote vyz simenti vishushe bei sio dangote tu!
Wewe gombana na traffic police barabarani saa hiyohiyo atapata taarifa. Haya mambo yako ya vifaa vya ujenzi hayupo hukoNakukumbusha mh rais, moja ya ahadi zako kubwa ulizotoa wakati wa kampeni ni kutupunguzia bei ya vifaa vya ujenzi ili sisi masikini tunaoishi kama mashetani tuweze kujitengenezea vibanda vyetu vyenye utu kidogo vya kuishi.