Mheshimiwa Rais, nakukumbusha ahadi yako ya kushusha bei ya vifaa vya ujenzi!

Dangote cement yake nafuu na vifaa vingine vingeshuka bei angalau kwa 75% ya bei ya sasa ingekuwa nafuu sana
 
Ahad
Kwa hiyo hii ilikuwa ahadi ya chama au ya mgombea_? Nakumbuka chadema waliitumia sana 2010!
Ilikiwa ahadi ya mgombea,mpaka leo ni serikali ya mtu si ya chama
 
Sasa dangote cement utaanza kuipata kwa Tsh 10,000 kwa mfuko....
 
Tangu Mh raisi alipoanza rasmi majukumu yake, kumekuwa na mabadiliko mengi sana, mimi naamini asilimia 70% ya watz kwa sasa wanaishi kwa furaha tena hii haijarishi hadhi wa uwezo wao kifedha, sisi makapuku watiifu tunamkubali, mafisadi wameokoka, wahujumu uchumi wamenyooka na hata vibaka wana share mawazo mazuri ya kujenga taifa lao. Sasa katika hoja yako mkuu, hapa tunaitaji uvumilivu mkuu, kumbuka hata safina ambayo mungu mwenyewe ndie alietoa kibali ijengwe lakini bado ilitumia miaka mingi kutengemaa, marekani na ujanja wake wote, utajiri na ubabe haikuanza jana mkuu imejipanga kwa miongo mingi mkuu,. Cha muhimu ni kusimama imara, kuweka uzarendo mbele, kufanya kazi kwa juhudi, kulinda taifa letu dhidi ya ma-economic intergence, na tuamini kwa umoja wetu wachaga na wakurya, wamakonde na wakristu, weupe na wafupi, wasio na dini na waislamu sisi sote kwa pamoja tunaweza kuijenga TANZANIA IMARA, (our mother)
 
Tayari cement! Attached
 

Attachments

  • IMG-20160530-WA0024.jpg
    107.2 KB · Views: 30
ila kweli! hivi rais huwa post zetu anazisoma au ana watu lakini ujumbe hawaufiksh
 
Huyu huyu Magufuli 2020 atasema amepunguza bei ya sukari kutoka 3000 mpaka 2000 kwa kilo na wananchi watampa tena kura.
 
ashushe sukar na bidhaa za chakula kwnza
 
Wewe gombana na traffic police barabarani saa hiyohiyo atapata taarifa. Haya mambo yako ya vifaa vya ujenzi hayupo huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…