Mheshimiwa Rais, naomba kazi ya Ukurugenzi wa Halmashauri

Acha uoga nenda ikulu mfikishie maombi ya kazi
 
Utakuna huna hata shamba. Unabeba mavyeti tu kuhangaika kutafta kazi wakati ulichosomea ni kiasi cha kuchukua jembe na panga ukaingia porini kuanza kulima.
Kuna tofauti ya mtu anayetafuta ajira kujikimu yeye binafsi na mtu anayeomba kutumika ili alete mabadiliko. This is a different proposition, let it be clear sio kwamba sina ajira au kipato lengo langu ni kutumia elimu/uzoefu kufanya jambo kubwa kwa jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…