Mheshimiwa Rais naomba unichague na mimi basi.. Sina ajira mwaka wa 6 sasa

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Jaaaaaaaaaamaaaaaaani SINA ajiiiiiraaaa

NAOMBA MHESHIMIWA RAISI WANGU MZURI WA TZ anichague na mimi basi aniweke popote tu hata kule CCM hamna shida nitakaa

Mimi napenda Kazi sina masihara

YESU ALISEMA OMBENI NANYI MTAPEWA NA MIMI NAOMBA AJIRA BASI

 
We tulia bwanA
We unadhani yeye hajui mana ya Money penny Boss wa Tanzania yote asijue Money penny? !

Woi dnorooobooee kwa hilo hapana

Picha yangu pia inajieleza
Da.... kwa hiyo picha hata uwaziri utapata! Maksi zote unazo.. at least za theory. Hata practicle nadhani uko vizuri. Mkao unazungumza wenyewe!
 
Don' judge the book by it's cover
Kila siku nakueleza mwana wee hunielewi
Japo ni cover tu lakini kwenye cover kuna mengi unayoweza kujua juu ya kitabu. Unakuta zile label za ''BEST SELLING'' au ''PULITZER AWARD WINNING'' nk. Hapo kitabu kitakuwa kibaya? Thubutu!
 
Maisha bila ajira yanawezekana,mbona sie tunasavaiv miaka yote hii na hatujawahi ajiriwa,kwanza ajira ni kama utumwa tu.
 
Uchumi unao umeukalia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…