Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haya,kila la kheri!!Utajuaje kama me sio kada
Mbona waliomchagua hakuwa kada bali mchapakazi raia wa kawaida tuu
hahahahaaa naona umekuja huku sawaa nasubiri sina haraka naimani na mimi utanipenyezaa tule woteHehehe
Si ulisema huna kazi mbona sasa umechelewa kujibu? NimesitukaMnipande kwenda wapi?!
Ahahahaha
Yajayo yanafurahisha upo tayari?!
Kapange foleni kwa Millard Ayo usubirie kunifungulia thread
Njoo uwe unanipikia na kunipa papa nitakupa mshahara mnonoJaaaaaaaaaamaaaaaaani SINA ajiiiiiraaaa
NAOMBA MHESHIMIWA RAISI WANGU MZURI WA TZ anichague na mimi basi aniweke popote tu hata kule CCM hamna shida nitakaa
Mimi napenda Kazi sina masihara
YESU ALISEMA OMBENI NANYI MTAPEWA NA MIMI NAOMBA AJIRA BASI
On a Serious Note Tutakumiss Mzee wetu MHESHIMIWA Mzee Kinana
Kweli picha inaelezaWe tulia bwanA
We unadhani yeye hajui mana ya Money penny Boss wa Tanzania yote asijue Money penny? !
Woi dnorooobooee kwa hilo hapana
Picha yangu pia inajieleza
nitashukuruje itakuwa ni kazi kazii mpaka watuite tena na kutupandisha vyeo na vx v8 zetuMimi ten? ! Ntakupa ukaimu basi
ha hahaaLeo naona kidoogo umekupata akili japo ni za kuazima
Hahaha aha shenzy wee Mxiiiiuuuu
umenifanya nicheke mpaka mgonjwa wangu kaamka woi
Kuwa na huruma wewe mimi mtoto wa Mwanaume mwenzio
Ngoja nilie huenda akaniskia
Mje huku muone mwanaume mwenzenu Mwafrica Aliemwokoa Mtoto wa Kizungu na kupewa Uraia na Ajira Nchini Ufaransa
atambe?Hapa kuna wanaume simba zaidi ya huyo hapo. Kama ni six packs zipo, wallet ni zaidi ATM ya Trump, na U-Handsome sasa yaaani utamaliza vidole kwa kuving'ata!!
Subiri watakuja