Mheshimiwa sana Mwakyembe hili nalo tunaliomba.

Mheshimiwa sana Mwakyembe hili nalo tunaliomba.

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
7,491
Reaction score
8,304
Ukiwa waziri mwenye dhamana ya kulinda mila na utamaduni wetu tafadhali tuhuishie sheria ya tresspassing.
Hii itapunguza kero kadhaa Kama wapiga bodi na wadokozi,hata wachafuzi wa mazingira wale wanaojikaribisha kwenye vibaraza vya watu wengine.
Kumbuka kuna ongezeko kubwa la watu mijini siku za karibuni..watu tunalizwa sana viatu na vitu vingine vidogovidogo?Lakini pia tutazidi "kunyooka "kimaadili kama mheshimiwa wetu anavyotaka.
Asante.
 
Back
Top Bottom