Mheshimiwa Temba Avuta Jiko

Mheshimiwa Temba Avuta Jiko

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,720
Anafaa kupongezwa Amani Temba A.K.A Mheshimiwa Temba.....
1229499851_temba.jpg

Nampa five anajua kuchagua kitu kimetulia si kitoto babake.
 
Hongera kamanda,cha msingi ni utulivu katika ndoa yako..big up
 
All in all I wish him & his family the best in Life!!!
Temba make sure you keep that lady smiling as long as you live man!!
 
Anaonekana mgumu mpaka hata siku ya kufunga ndoa.
 
Yoyo tunakusubiri wewe
Goli la 2009-MARIAGE
 
Mungu awalinde wanandoa hawa wapya ndoa yao iwe na amani na furaha siku zote.
Uvumilvu na upendo utawale kati yao
 
mh+temba.JPG

Wife wa Mh Temba akiwa amepozi

mh+temba+%282%29.JPG

Achilia mbalia na tatizo la kitaswila,kiukweli maharusi walipendeza mnooo

mh+temba+%281%29.JPG

Msanii wa kizazi kipya kutoka kundi la TMK Wanaume Family, Mh. Temba Jumamosi iliopita aliamua kuchukua uamuzi mzito kwa kuchukua jumla na kufunga nae ndoa katika kanisa la Azania Front jijini Dar. Picha kwa hisani ya Abdallah Mrisho​
 
Last edited by a moderator:
Hata Matonya naye kafanya kweli,,,,,

banana_matonya_wife.jpg

Ama hakika walipendeza sana.Pichani toka shoto ni mpambe wa bwana harusi Banana Zorro,Bwana harusi Matonya na mkewe wakiwa wameweka pozi hai tebo.
 
mh+temba+%282%29.JPG

Achilia mbalia na tatizo la kitaswila,kiukweli maharusi walipendeza mnooo

Msanii wa kizazi kipya kutoka kundi la TMK Wanaume Family, Mh. Temba Jumamosi iliopita aliamua kuchukua uamuzi mzito kwa kuchukua jumla na kufunga nae ndoa katika kanisa la Azania Front jijini Dar. Picha kwa hisani ya Abdallah Mrisho​

Sasa mbona hawakutoa lebo kwenye suti?! .... halafu hili tatizo nimeliona kwa watu wengi Bongo; sijui wanaziacha lebo kwa makusudi au ndiyo kutoelewa!!
 
Hata Matonya naye kafanya kweli,,,,,

banana_matonya_wife.jpg

Ama hakika walipendeza sana.Pichani toka shoto ni mpambe wa bwana harusi Banana Zorro,Bwana harusi Matonya na mkewe wakiwa wameweka pozi hai tebo.
Damn mbona kama bibie mileage imekwenda?......yule anita mkali than huyu......Sijajua kazi ya msimamizi wa harusi baada ya harusi......yaani Banana Zoro baada ya hii harusi.....Hongera Tonya...
 
haya masuala ya kupeana vyeti kabla ya mtihani hapana aisee...
 
Back
Top Bottom