Dah kaka ubishi how? Yaani ubishi upi huo unasababisha wasijengewe barabara? Kama huru, mbokomu, wana barabara kwanini hawa wakose?Wa old mosh inawezekana tatizo lenu ni ubishi , mambo za kutegemea serikali naona kama nikujichelewesha tu
Chocho kama hizo sehemu nyingine uchagani wamejiongeza kwa kuchangishanaDah kaka ubishi how? Yaani ubishi upi huo unasababisha wasijengewe barabara? Kama huru, mbokomu, wana barabara kwanini hawa wakose?
Wa Moshi wa wapi hawakutegemea serikali kuwajengea barabara za lami Mkuu.Wa old mosh inawezekana tatizo lenu ni ubishi , mambo za kutegemea serikali naona kama nikujichelewesha tu
Sijaelewa swali lakoWa Moshi wa wapi hawakutegemea serikali kuwajengea barabara za lami Mkuu.
Nadhani upafaham moshi vizuri ww. Most of all nadhani barabara za moshi vijijini huzijui.Chocho kama hizo sehemu nyingine uchagani wamejiongeza kwa kuchangishana
Kwanini unadhani tatizo la barabara old Moshi ni kwasababu ya ubishi na kutegemea serikali? Halafu, je, hujui kwamba uendelezaji wa miundo mbinu kama barabara ni jukumu kubwa kifedha kiasi kwamba kwa Tz ni serikali tu peke yake yenye uwezo wa kutatua changamoto kama hii kwa haraka?Sijaelewa swali lako
Mkuu umeshindwa kabisa kutoa mada kwa njia ya picha.Apa ni kijijini kwetu old Moshi Tela, Serikali tuzingatieni tupate lami jaman daah π tumezaliwa barabara ipo hivyo hivyo mpaka tunazeeka bado ipo hivyo hivyo. Cheki apo mvua imenyesha kidogo kisamba chake c mchezo.
Diwani na mbuge wa Old Moshi zingatieni wananchi wanalalama na kulia Old Moshi Tela kwanini haiwekwi lami?