Majaliwa Amosi
New Member
- May 10, 2013
- 3
- 0
Hivi neno mheshimiwa lina maana gani?Maana inanishangaza kuona mtu anaitwa mheshimiwa lkn mambo anayoyafanya ni tofauti na jinsi anavyotwa.Mfano Mwigulu Nchemba na wengine kama hao wanaitwa waheshimiwa lkn hao hao ndo wanaongoza kwa matusi bungen,inakuaje hapo?