Mheshimiwa

Mheshimiwa

Majaliwa Amosi

New Member
Joined
May 10, 2013
Posts
3
Reaction score
0
Hivi neno mheshimiwa lina maana gani?Maana inanishangaza kuona mtu anaitwa mheshimiwa lkn mambo anayoyafanya ni tofauti na jinsi anavyotwa.Mfano Mwigulu Nchemba na wengine kama hao wanaitwa waheshimiwa lkn hao hao ndo wanaongoza kwa matusi bungen,inakuaje hapo?
 
Ulimaanisha Mheshimiwa au MWISHIWA? Wengi wao wameishiwa vichwani!
 
Mdharauliwa ni nani?

"To know the enemy is half the victory"
 
Back
Top Bottom