Nazjaz
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 7,730
- 9,088
Nimemaliza pale 1999samahani 5&6 weruweru mwaka gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimemaliza pale 1999samahani 5&6 weruweru mwaka gani?
Nimesoma Bunge Primary School
Nimesoma Forodhani Secondary School
Ndipo nikaenda Weruweru 5&6
Ni mji gani unaoungelea wewe?
Kuwa na heshima kwa wakubwa, Facebook ni kubwa sana kuliko JFPottential ipi,hyo ya kuwa tagged na mdeni wako.
Yamekuwa hayo?Embu nitumie picha yako pm yawezekana ukawa classmate pale bunge shule ya msingi
okay kipindi hicho nadhani bado ilikuwa na O level.Nimemaliza pale 1999
😀 thread imekuja kipindi sahihiMwingine anadaiwa kaenda kumuua mdai wake
nilikuaga in love na zile raba zenu fulan +sketi...kwa kweli aliependekezaga uni4ms zile abarikiweakulipe huyo asikutag bure bure
nadhan umekosea kuquote mkuunilikuaga in love na zile raba zenu fulan +sketi...kwa kweli aliependekezaga uni4ms zile abarikiwe
ni kwel mkuu,samahan kwa tafran hahahnadhan umekosea kuquote mkuu
poa poa mkuuni kwel mkuu,samahan kwa tafran hahah
I can feelManeno makali sana aisee, naona mwamba amechefukwa
Kwani unadaiwa shingapi? Tukuchangie ulipe?Nitakupa hela yako tarehe 22. Ndio umeamua kuja kunitangaza kwa matajiri wa JF?!
InakeraNi dharau zilizopindukia
Ndio mademu wengi wa JF walivyoWewe ni ombaomba?