Mheshimu sana mwanamke anayejitambua kugomea rushwa ya ngono! Wanayopitia uteuzi wa kisiasa na nafasi za kazi Mungu pekee anajua

Mheshimu sana mwanamke anayejitambua kugomea rushwa ya ngono! Wanayopitia uteuzi wa kisiasa na nafasi za kazi Mungu pekee anajua

sasa kama mwanamke anampa mbwiga mmoja kwa ahadi za kumuoa tu
anamnyima vip mtu anayempa ahadi ya kazi

wabongo ni watu wa hovyo sana
Kuna magonjwa pia
 
Wanawake wanapitia changamoto kubwa sana hasa rushwa ya ngono kwenye konekinsh ya kazi, hasa kipindi hiki ajira ni ngumu na life ni gumu.na wengine wanatoa na ajira awapati.
 
Wanawake wanapitia changamoto kubwa sana hasa rushwa ya ngono kwenye konekinsh ya kaz,hasa kipind iki ajira ni ngumu na life ni gumu.na wengine wanatoa na ajira awapati.
Kaz kwelikweli
 
Nashukuru Mungu kote nilikopita hadi nimefika hapa sijawahi kutana na kitu ya namna hiyo.

Ila hayo mambo yapo, wanaume wengine wamejawa tamaa + kukosa utu
Nani akukule ww na sura yako personal.

Jishuku basi 🤣
 
Back
Top Bottom