Mhhhh jide katisha...ticket zote zimeisha...wambea mkafie geti la clouds

Kama kweli tikiti zimeisha aache tamaa ya kuongeza, azingatie mahitaji ya ukumbi ili watu wafurahie Huduma nzuri toka kwake!

Nani kakudanganya ana tamaa kama za clouse
 
Nyani Ngabu is peruzin dis .

Yaani hicho kibibi bana!

Sasa kilichokuwa kinalilia ni nini ilhali milango ya riziki ipo kibao?

Oooh mara sijui Ruge na Kusaga wananizibia riziki...mara sijui Clouds nini....haya sasa kimeshauza tiketi zote sijui kitamlaumu nani tena...

Kwanza kiache ulanguzi wa tiketi. Wee tiketi alfu 50 halafu sehemu yenyewe ni egesho la magari kwenye kimgahawa chake wakati nyimbo zake hazibambi tena.

Ni heri niende Kona Bar nikazimwage hizo alfu 50 kwa totoz kuliko kwenda kuumizwa masikio yangu na vinyimbo visivyo na kiwango.
 
Nani kakudanganya ana tamaa kama za clouse

Lazima tutoe tahadhali, sisi ndio wadau wenyewe tunao amini katika quality and not quantity! Mawingu wao tumeshawazoea kwahivo nilazima tumtahadhalishe dada hasiingie kwenye mtego wao!
 
Usikute ruge ndo kanunua nyingi,afu siku ya show kunakuwa na watu kiduchu,jide aweke akiba ya ticket kwaajili ya watakaonunulia getini kama mie na boy wangu tutakwenda ila bado hatujanunua ticket tunasubiria za kununulia getini
Ha ha ha ha! Boy wako, kazi kweli kweli.
 
Halooo..ticket onyesho la jide zimeisha...wambea mkafie getini clouds

kama zimeisha haya matangazo redion na kwenye TV yanayoamasisha watu kununua tiketi yanatoka wapi?? acha umbeya na kumuharibia jide biashara kwa kuwafanya watu wasiangaike kutafuta tiketi
 
kama zimeisha haya matangazo redion na kwenye TV yanayoamasisha watu kununua tiketi yanatoka wapi?? acha umbeya na kumuharibia jide biashara kwa kuwafanya watu wasiangaike kutafuta tiketi
Aisee sijawahi kuona mtu mshamba kama wewe, chuki bila sababu au kwa sababu Muhaya mwenzako amekosa pesa ya matangazo? ujinga huo.
 
Pengine Clouds wamenunua tiket ili watu wawe wachache.
 
Lazima tutoe tahadhali, sisi ndio wadau wenyewe tunao amini katika quality and not quantity! Mawingu wao tumeshawazoea kwahivo nilazima tumtahadhalishe dada hasiingie kwenye mtego wao!

kweli mkuu umenena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…