Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,368
Kama kweli tikiti zimeisha aache tamaa ya kuongeza, azingatie mahitaji ya ukumbi ili watu wafurahie Huduma nzuri toka kwake!
Nani kakudanganya ana tamaa kama za clouse
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kweli tikiti zimeisha aache tamaa ya kuongeza, azingatie mahitaji ya ukumbi ili watu wafurahie Huduma nzuri toka kwake!
Jide balaa katumia ugomvi wake na Ruge kufanya promo, hongera Gadna.
Nyani Ngabu is peruzin dis .
Jide balaa katumia ugomvi wake na Ruge kufanya promo, hongera Gadna.
Nani kakudanganya ana tamaa kama za clouse
Clouse ndio nini?
Nani kakudanganya ana tamaa kama za clouse
hawajazinunua mashabiki amenunua yeye na mumewe
Ha ha ha ha! Boy wako, kazi kweli kweli.Usikute ruge ndo kanunua nyingi,afu siku ya show kunakuwa na watu kiduchu,jide aweke akiba ya ticket kwaajili ya watakaonunulia getini kama mie na boy wangu tutakwenda ila bado hatujanunua ticket tunasubiria za kununulia getini
kituo cha redio kinachojiusisha na mapenzi ya jinsia moja...
hawajazinunua mashabiki amenunua yeye na mumewe
kituo cha redio kinachojiusisha na mapenzi ya jinsia moja...
Halooo..ticket onyesho la jide zimeisha...wambea mkafie getini clouds
kama zimeisha haya matangazo redion na kwenye TV yanayoamasisha watu kununua tiketi yanatoka wapi?? acha umbeya na kumuharibia jide biashara kwa kuwafanya watu wasiangaike kutafuta tiketi
Aisee sijawahi kuona mtu mshamba kama wewe, chuki bila sababu au kwa sababu Muhaya mwenzako amekosa pesa ya matangazo? ujinga huo.kama zimeisha haya matangazo redion na kwenye TV yanayoamasisha watu kununua tiketi yanatoka wapi?? acha umbeya na kumuharibia jide biashara kwa kuwafanya watu wasiangaike kutafuta tiketi
Nimeipenda hii, tatizo hakuna kitufe cha 'like' yaani nimeilike ile mbaya.Nyani Ngabu is peruzin dis .
Lazima tutoe tahadhali, sisi ndio wadau wenyewe tunao amini katika quality and not quantity! Mawingu wao tumeshawazoea kwahivo nilazima tumtahadhalishe dada hasiingie kwenye mtego wao!