Mhhhh jide katisha...ticket zote zimeisha...wambea mkafie geti la clouds

Mhhhh jide katisha...ticket zote zimeisha...wambea mkafie geti la clouds

Halooo..ticket onyesho la jide zimeisha...wambea mkafie getini clouds

hili neno "Haloo" wanalitumiaga wanaume wasio ridhiki,hivo post yako inanivutia nianze kukuita "Aunt Hashm "...
 
Last edited by a moderator:
Halooo..ticket onyesho la jide zimeisha...wambea mkafie getini clouds
nimeona kwenye Wall ya Choka anaomba watu wakanunue..leo tena mchana huu sasa zimeisha saa ngapi?..ngoja nikadake ynagu kabisaaaa
 
wakati Quartie Latin ya Mopao Mokonzi imevunjika na Academia wako juu mno na mtu mzima Koffi anajipanga na kundi jipya,vijana wa Academia walikuwa wakijiandaa na uzinduzi wa album lao la kwanza!promo kali ikapigwa,watu wana hamu ubwa kuwaona kina Suzuki,basi unaambiwa ghafla ikatangazwa........show iko sold out!tiketi zimeisha zote muda mrefu kabla ya concert yenyewe.......jamaa wakafurahi iii kweli kweli.......siku ya show jamaa wanajiandaa ukumbni haujai tu!!ngoja...ngoja na wewe...watu kiduunchu.....time ya show ishapita......ikabidi waanze tu hivyo hivyo kupiga.hela kweli walipata ila kilichofuata kwa kundi lao..sijui hata watu wangapi wanalikumbuka leo!!Mopao alinunua tiketi nyingi sana na kuzichomelea mbali!aliwapa hela ya show ile ila akaua uhai wa kundi kabisa!

Jide asifurahi sana ..........angoje kwanza show ipite ajue kama hajahujumiwa ndo tufanye sherehe aiasee!!
 
Ticket bado hazijaisha,pia t shirt za anaconda team zinapatikan pale nyumban lounge kwa sh 15 tu,show imeairshwa had mazish ya ndug yet yaishe itatangazw tena
 
Back
Top Bottom