Ngho
Senior Member
- Jun 2, 2015
- 121
- 189
Nimekuwa naamini kama ni mchezaji nzuri kwenye team na anahitajika mno kwa local players, amekuwa akifanya kila jitihada na kudeliver kile mchezaji anapaswa kwa team yake.
Ukata wa MAGOLI kulimnyima hali ya kukjiamini, na lilikuwa linasubiriwa kwa hamu kwake yeye, bench LA ufundi na wachezaji kwa ujumla.
Ukiangalia baada ya Banda kufunga ni yeye ndiye aliyeuokota mpira wavuni while blaming himself kwa zile chance alizokosa.
Baada ya kufunga bao lake la kwanza angalia Kagere alivyofurahi kumuona kijana anafanikiwa.
Njoo kwenye goli lake la mwisho ameingiza mguu sehemu ngumu ambayo alitaka aumie lakini afunge.
Angalia Sakho alivyomshika mkono kumtambulisha mbele ya camera style yake ya ushangiliaji akiwa mazoezini.
The wait is over MHILU WELCOME TO THE WORLD OF GREAT AMBITION.