"Mhindi huyu anawamaliza wanetu"

Hivi kuna anayejidanganya kwamba hii ni breaking news kwa polisi? Iweje wewe mpita njia tu tena uliyeko safarini ugundue kitu kama hiki wakati kuna mijitu inaishi hapo na inalipwa mishahara ili ijue mambo kama haya na isijue siku zote?

I guess everybody is just "not in the mood" to do their work!
Kuna vioja vingi sana bongo!
 
Kumpigia RPC na kumweleza kiwango cha tatizo na namna ambavyo tatizo limeshafahamika kwa wengi ni muhimu
Namba ya RPC Kilimanjaro ni hii hapa +255 754 461187
MTWANGIENI
 
Hawa watu wa madawa ya kulevya ni hatari sana, tena kama wameshafika kuwauzia watoto basi ndio hivo tena kizazi cha taifa la kesho ndio kinamalizwa...!

Hawa wauzaji wanastahili wanyongwe kabisa...!
 
Huyo mhindi hafai hata kidogo!
What sad news?
 
Simple D thanks alot.
No ya IGP uliyonipa niliitumia.There was an instant reaction to the matter.Tusubiri matokeo kuhusu yule gabachori
 
ni bahati mbaya kuwa huyu ni mhindi. Na kwa sababu ya uhindi wake kabila lake lote limetukanika. Laiti kama huyu angekuwa mchaga sijui kama kabila lote la wachaga lingetukanwa. STOP BEING PETTY MINDED.
 
ni bahati mbaya kuwa huyu ni mhindi. Na kwa sababu ya uhindi wake kabila lake lote limetukanika. Laiti kama huyu angekuwa mchaga sijui kama kabila lote la wachaga lingetukanwa. STOP BEING PETTY MINDED.

Ni kweli haifai ku categorize...Nadhani unajuwa yaliyowakumba wachagga.
Sumar ndugu yangu ngoja nikwambie kitu.
Kweli kama wahindi wasipobadilika..Basi wataleta mushkeli.
Ni kweli inabidi muhakikishe kuwa mafanikio yenu mnayoyapata kwenye ardhi ya mwafrika inamnufaisha mwafrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…