DOKEZO Mhindi tapeli wa viwanja Kigamboni, anataka kutapeli wananchi kwa kutumia makampuni hewa 4

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Anatabia ya kuuza kitu halafu, anakuja sema document zake zimepotea , na anaenda chukua loss report kabisa hata kutangaza kwenye magazeti ya serikali. Hapa anadai kupotelewa na card za magari kibao, yote anayafanya maana kashakopea huko izo card, then anadai zimepotea. pitie izi documents , mtaona tu huyu mtu hana nia njema. Vyombo husika vimuangazie asee. Makampuni tajwa yachunguzwe.
 
MImi na wenzangu wengine tuna mgogoro na Jeshi JWtz , Jeshi wanadai ni eneo lao la mafunzo, wakati wanakuja waliomba kwa wenyeji eneo la mazoezi sasa wanasema la kwao! tupo wananchi zaidi ya 100 na zaidi na Tushafungua kesi...
Hiyo kesi yenu rahisi sana serikali itawapa maeneo mengine kama fidia. Jeshi ni suala la ulinzi wa taifa na ardhi ni mali ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
 
Tunafanana tabia, mie ni lazima nirekodi video, yaani lazima niwe na video, nitafanya hata ujasusi wa FSB nirekodi.
 
tushajikusanya na kupeleka malalamiko yetu , file lipo miezi sasa bado hatujaitwa
Hapo mawili hawaiti kwa sababu hakuna maslahi(naogopa sana viongozi wafanya kazi mbele ya kamera, na siwaamini.) ama la ni kweli mezani kwake kuna kesi nyingi nyie bado hajawafikia.
 
tushajikusanya na kupeleka malalamiko yetu , file lipo miezi sasa bado hatujaitwa
Nendeni lazimisheni kumuona waziri mkiona mmepeleka faili muda mrefu hamuitwi mjuwe huyo muhindi ana watu wake hapo wizarani anawapa hela wanashikilia hilo faili waziri asilione. Nakuhakikishia waziri hajui lolote kuhusu ishu yenu mpaka sasa.
 
Mtandikeni chuma shetani huyo, au mnaogopa ,

Huyo ni shetani hastaili kwenye jamii ya watz,
 
Hapo mawili hawaiti kwa sababu hakuna maslahi(naogopa sana viongozi wafanya kazi mbele ya kamera, na siwaamini.) ama la ni kweli mezani kwake kuna kesi nyingi nyie bado hajawafikia.
Au faili la hayo malalamiko "linafichwa" na maafisa wa hapo ardhi ili lisimfikie waziri, maana pia kuna uwezekano mkubwa "kanjibai" ana watu wake hapo ardhi, maafisa ndo wanamlinda.
Ishu kubwa hapo ni kumfikia waziri moja kwa moja, yaani direct. Inatakiwa wapate namna ambayo itawawezesha kumfikia mhe waziri directly, eidha kwa kupitia mawasiliano yake binafsi (eg kumtumia hayo malalamiko kwenye e mail yake binafsi, au kwa WhatsApp kwa namba yake binafsi) au kwa kuwa connected na mtu wake wa karibu.

Mkuu taheltz jaribu kumcheki Mh Jerry Silaa kwa namba yake hii 255758855850, au e mail yake j.silaa@gmail.com

Pia, unaweza tumia fomu hii hapa (nimeambatanisha), ambayo ni ya wizara ya ardhi kujaza malalamiko yako, na kuituma kwenye e mail ya waziri ya ofisi war@ardhi.go.tz. (Japokua hii pia inaweza fichwa na maafisa wa hapo wizarani kama anao wanaomlinda).
Nashauri kwa sasa utumie multiple ways za kumfikia Waziri, ili yoyote itakayojibu ifanikishe kumfikia. Njia pekee ya hili suala kupata ufumbuzi ninayoiona ni kwa hili jambo kufanyiwa kazi na Mh Silaa yeye mwenyewe direct, otherwise hamtoboi. Pole sana mkuu
 

Attachments

Asante sana mkuu, Tutafanya na hilo la direct, maana tumeanzia kwa mkurugenzi, na ngazi zoote , mpka takukuru nao kimnya. Ndo mana tumeanza weka public wakuu walione
 
Poleni sana.
Inauma sana Mhindi gabacholi anatoma India anakuja kusumbua wananchi Tanzania. Ingekuwa huko kwao wangeshamlamba risasi.
Watanzania ni waoga sana. Inabidi kufanya maamuzi magumu wakati mwingine kama Hamza.
Haya mambo yanachosha sana
Nashangaa wati wengi mnatapeliwa na muhindi. Si wamtafutie vibaka wamlawiti tu. Muhindi njaa huyo anawasumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…