DOKEZO Mhindi tapeli wa viwanja Kigamboni, anataka kutapeli wananchi kwa kutumia makampuni hewa 4

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Huyo muueni , full stop
 
Nendeni lazimisheni kumuona waziri mkiona mmepeleka faili muda mrefu hamuitwi mjuwe huyo muhindi ana watu wake hapo wizarani anawapa hela wanashikilia hilo faili waziri asilione. Nakuhakikishia waziri hajui lolote kuhusu ishu yenu mpaka sasa.
Ila kwa sasa lazima waziri ameliona, na hilo faili watalipeleka tu..
 
hizi kampuni,zinahitaji kuchunguzwa na Tra na ikibidi abanwe kulipa kodi, sidhani kama zishawahi peleka hesabu Tra. Mwenye idea jinsi ya kuziminya atupe maoni yake

) Interflow commercial (T) Limited
2) Rubab Investment
3) Jasman East Africa limited
4) Multimodal transport Africa lImite
 
Ifike mahali mashtaka yakiletwa hapa jamii forum tupate na upande wa pili wa mtuhumiwa.Alafu tuwachie wenye mamlaka wafanye maamuzi.
 
wahindi ni janga
 
Aisee huyu Dr Panjwan nashindwa olewa nafanza nini sasa
 
Kwamba mh Waziri anatafutwa na wananchi wake hafikiki kabisa kana kwamba anaishi Mbinguni! HII NCHI NI NGUMU SANA!
Basi wamvizie kwenye clinic yake kama huko kwa office wanafanya kaudhibe kumuoa waziri
 
Dhuluma ni kitu kibaya sana,na ni machukizo kwa Mungu,lakini ndiyo kwanza watu eti hawaogopi kabisa kufanya Dhuluma, sijui ni laana au ni tamaa zao tu!!
 
waziri atusaidie kwakweli, maana uyo mhindi hataki hata kukutana na sisi, anatumia mawakili wenye njaa na kuwapa maagizo tu yeye hatokei
Na hawa wahindi nani amewapa haki ya kumiliki viwanja huku kwetu?
 
Waziri Jerry Slaa inabidi awaweke ndani watumishi wa ardhi wanaoshikilia mafaili ya kesi hizi.
Ifike hatua tukubali chanzo cha tatizo watumishi wasiokuwa waaminifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…