DOKEZO Mhindi tapeli wa viwanja Kigamboni, anataka kutapeli wananchi kwa kutumia makampuni hewa 4

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Asante kwa taarifa, kumbe ni mchafu zaidi ya tunavyo mfahamu
 
MKUU WA WILAYA ANAMFAHAMU HUYO MUHINDI? WAZIRI SILAA MMEMJULISHA HUU WARAKA ULIOUANDIKA MWANDIKIE WAZIRI WA ARDHI ATAKUJA FASTA
 
MKUU WA WILAYA ANAMFAHAMU HUYO MUHINDI? WAZIRI SILAA MMEMJULISHA HUU WARAKA ULIOUANDIKA MWANDIKIE WAZIRI WA ARDHI ATAKUJA FASTA
Tusha peleka ma file, mezani. Tumeelezwa tutapigiwa simu ila bado kimnya. ndo tunapanbania kumpatq direct . Tunaomba mwenye experince na huyu tapeli, afunguke tumjue vizuri adui
 
Dhuluma ni kitu kibaya sana,na ni machukizo kwa Mungu,lakini ndiyo kwanza watu eti hawaogopi kabisa kufanya Dhuluma, sijui ni laana au ni tamaa zao tu!!
Kaka kuna watu dhuluma kwao ni sehemu ya ibada, yaani mtu akipata madaraka halafu akashindwa kujitajirisha kupitia madaraka hayo kwa kudhulumu watu anaona kama haitendei haki nafsi yake.... na mbaya zaidi watu hao ukiwakuta nje ya ofisi zao wanajifanya ni watu wema sana wanaomjua Mungu.

Mfano kama kwenye hili sakata la kiwanja cha mzee wangu, mmoja wa maafisa wa aridhi aliyeshiriki kikamilifu katika dhuluma hiyo ni mama mmoja hivi ambaye tuna sali nae na kila jumapili huwa yuko kanisani na kukomnika anakomnika kabisa.

Huyo huyo mama pia akishirikiana na maafisa wenzake walidhulumu kiwanja cha bibi mmoja hivi na kisha wakawauzia waarabu fulani hivi wakaweka yard ya magari, halafu yule bibi wakampa kiwanja kingine porini kabisa ambacho hakina hata thamani ya 2m wakati kile walichowauzia waarabu kilikuwa na thamani ya 300m.... kuna watu ni wakatili sana hapa duniani halafu hata hawajali kabisa
 
Kwamba anafanya haya yote, halafu na bado yupo tu anatembea mitaani??

Kweli hii nchi utulivu na upole wa kipuuzi umezidi.
 
Kwamba anafanya haya yote, halafu na bado yupo tu anatembea mitaani??

Kweli hii nchi utulivu na upole wa kipuuzi umezidi.
huyu ni adui wa taifa kabisa, hadi serikali anaitendea mabaya. kwa kiburi cha kushirikina na watumishi wasio wazendo
 
huyu ni adui wa taifa kabisa, hadi serikali anaitendea mabaya. kwa kiburi cha kushirikina na watumishi wasio wazendo
Ni masikitiko sana kaka, nchi hii wezi wapenda dhuluma pamoja na wala rushwa ndio watu wenye nguvu kwenye nyanja mbali mbali
 
Ni masikitiko sana kaka, nchi hii wezi wapenda dhuluma pamoja na wala rushwa ndio watu wenye nguvu kwenye nyanja mbali mbali
Tuna imani na waziri , kila kitu kitakua saa na tapeli atashindwa
 
WAKATI WA MAGUFULI ALIKIMBIA NCHI AKAENDA KWAO INDIA...Nabii JIWE aliletwa na Mungu kuwasaidia watanzania kudeal na washenzi kama huyo tapeli. RIP JIWE.
 
Jumba Mkumbi ni Diwani Mstaafu wa Kibada,
Anatajwa maeneo mengi yenye deal za kitapeli za viwanja.
Ni nyumbandogo ya Mmoja wa Wakubwa pale Wizara ya Ardhi. Tena mkubwa mwenyewe ni mwanamke ambaye ni mke wa mtu.

Nilipoona jina lake hapo juu, nikaona niwaletee ufafanuzi utakaosaidia vyombo vya uchunguzi kubananishana naye ili haki ipatikanike.

Juma Mkumbi, amewahi kujaribu mara kadhaa kwa kushirikiana na Diwani wa Toangoma kutaka kuzalisha viwanja kwenye Kitalu 13 eneo la buffer na awali alifanikiwa kuzalisha viwanja 22 ambavyo Mkurugenzi wa Upimaji alipotembelea akaifuta ramani. Alipostaafu Mkurugenzi Lyamuya (infact alipelekwa kuwa mkuu wa chuo) walijaribu tena kufufua zoezi la Kitalu 13 Kibada lakini Waziri wa wakati huo (Lukuvi) alifuta zoezi hilo...

Kigamboni ni warzone ya viwanja.
 
Kwamba mama amemhakikishia usalama wake dhidi ya utapeli au kipi kimempa ujasiri kurudi ikiwa serikali ni ile ile ye CCM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…