Mhitimu afariki akiwa anajitolea kiwanda cha Sukari Bagamoyo

Mhitimu afariki akiwa anajitolea kiwanda cha Sukari Bagamoyo

K
timu wa fani ya uhandisi wa uvunaji na uchakataji ( Bio process and post harvesting Engineering) mwaka 2020 amefariki katka kiwanda cha sukari Bagamoyo wiki iliyopita, alipokuwa anajitolea ,kiukweli inatiaa simanzi natamani kiwanda kitoe maelezo ya kutosha , inachanganyq aiseew
Kwa nini kiwanda kitoe maelezo ya kutosha!?..kafaje!?..kanywa kemikali za kiwanda,kadondokewa na vifaa vizito vya kiwanda!?
 
Mhitimu wa fani ya uhandisi wa uvunaji na uchakataji ( Bio process and post harvesting Engineering) mwaka 2020 amefariki katka kiwanda cha sukari Bagamoyo wiki iliyopita, alipokuwa anajitolea ,kiukweli inatiaa simanzi natamani kiwanda kitoe maelezo ya kutosha , inachanganya aisee
Kifo kwa binadamu na viumbe vyote hai tumeumbiwa, popote pale mtu au kiumbe anafia!

Sasa kufia kiwandani, shambani ama barabarani kuna ajabu gani?

Toa maelezo yaliyoshiba, kuelezea chanzo cha kifo chake ili wadau tutathimini na tubadilishane uzoefu wa mawazo!
 
Back
Top Bottom