Salaam zangu kwa wana wa jamii forum
swali langu ni eti mhitimu wa kidato cha nne anaweza kwenda kusomea urubani yani kuanzia basic mpaka afike kiwango cha kuweza kufanya practical

Wasikutishe, unaweza kusomea, muhimu ukomae tu, ata kama hujamaliza shule yoyote unasomea, tena sio kwetu tu Tanzania, apo USA ndo kabisa wao wanachukuwa tu na kutoa maleseni, sema kuwa na some knowledge ya physics na geography itakusaidia sana, pia uwe na ufahamu mzuri otherwise utaona chenga tupu.....