mhitimu wa kidato cha nne kuchukua mafunzo ya urubani

mhitimu wa kidato cha nne kuchukua mafunzo ya urubani

johnny567

Member
Joined
Feb 3, 2014
Posts
22
Reaction score
9
Salaam zangu kwa wana wa jamii forum
swali langu ni eti mhitimu wa kidato cha nne anaweza kwenda kusomea urubani yani kuanzia basic mpaka afike kiwango cha kuweza kufanya practical
 
Salaam zangu kwa wana wa jamii forum
swali langu ni eti mhitimu wa kidato cha nne anaweza kwenda kusomea urubani yani kuanzia basic mpaka afike kiwango cha kuweza kufanya practical

tatizo Physical Geography O-level wanaisoma kiutoto sana!
So hawezi! Over !

:closed_2:
 
Salaam zangu kwa wana wa jamii forum
swali langu ni eti mhitimu wa kidato cha nne anaweza kwenda kusomea urubani yani kuanzia basic mpaka afike kiwango cha kuweza kufanya practical

Wasikutishe, unaweza kusomea, muhimu ukomae tu, ata kama hujamaliza shule yoyote unasomea, tena sio kwetu tu Tanzania, apo USA ndo kabisa wao wanachukuwa tu na kutoa maleseni, sema kuwa na some knowledge ya physics na geography itakusaidia sana, pia uwe na ufahamu mzuri otherwise utaona chenga tupu.....
 
Back
Top Bottom